Namjua, namjua, namujua, namjua
Namjua, namjua, namjua, namjua
Kuwa nae paradiso mie nae uai adi kifo
Kama babu na kiko niko nae toka nauza siso
Akitembea lawama, namjua
Uko n nyuma danadana, namjua
(CHORUS)
Iwe kokwa iwe ganda, akinipa na jilamba Ana vyo li cheza ilo vanda shughuli kwenye kitanda
Ayelelee ayelele ayelelelee
Mwenye kishepu kidogo, namjua, namjua Mwendo wake wakidogo, namjua
Sura kama mtoto mdogo, namjua, namjua
Utamu wa embe dodo, namjua, namjua
Na mshusha chombo eeh!
Ajede dedee aje dedee
Ione kwa mbali ajede dedee aje dede
Japo ishikilie ajede dedee aje dedee
Chupa au asali, ajede dedee aje dedee
Leo pochi imenona, inataka kutoka
Vaa top ya kushona, niko na suti
Tena ukiwaona, usije ukashoboka
Wafungie kwa kona, maana marafiki nyoka eeeh
(CHORUS)
No comments:
Post a Comment