[Verse 1 – Peter Msechu]
Sikuamini kama kunashinda maajabu saba dunia
Ndani ya binadamu, kwa binadamu
Shida ni kwamba ni Mola pekee
Haiwezi kuoneka kwa macho ya mwanadamu
Macho ya mwanadamu
[Bridge 1 – Peter Msechu]
Kumbe…Udhaniavyo sivyo, mambo ni vice versaMchanga mweupe, chini ya maji, mbona unanitesa?Udhaniavyo sivyo, mambo ni vice versaMchanga mweupe, chini ya maji, mbona unanitesa?
[Chorus – Peter Msechu]
Kumbe…
Kumbe, unidhaniavyo sivyo
Kumbe…
Kumbe, mimi ni mtu mwingine
Kumbe…
Kumbe, kumbe
Kumbe…
Unidhaniavyo sivyo hivyo
Kumbe…
Kumbe, kumbe
Kumbe…
Mambo ni vice versa
[Verse 2 – Peter Msechu]
Jina rafiki, halikufai wewe
Maana halisi ya mnafiki wewe
Wasubiri nikosee, uanze kutoa lawama
Na hata nikifanya vyema, ngumu kusema “umetisha mwana”
Michongo mingi ulibana, ili unipigishie
Uonekane wa maana, huu si mpango ujue
Michongo mingi ulibana, ili unipigishie
Uonekane wa maana, huu si mpango ujue
[Chorus – Peter Msechu]
Kumbe…
Kumbe…
Kumbe…
Kumbe, kumbe
Mambo ni vice versa
Kumbe na…
Kumbe, kumbe, kumbe
Kumbe…
Mambo ni vice versa
Kumbe…
Mambo ni vice versa
[Verse 3 – Joh Makini]
Mbona kimya Weusi? Kimya kimetanda
Na kumbe we ndo uletaga ngoma zetu propaganda
Tumesanda wengi sio marafiki hii media
Mlango wazi karibu karibia Joh
Mi nikidhani ujirani mwema my dear
Ilikuwa trick kunichorea
Unataka kujua vipi naendelea
Ni kidedea machizi tunapofeli
Kunitoa njiani ngumu kama treni juu ya reli
Ain’t mad at you, Makaveli
Weusi, A City in a house!
Crazy!
[Bridge 2 – Peter Msechu]
No no
Kumbe, unidhaniavyo sivyo
Kumbe, mimi ni mtu mwingine
Kumbe, kumbe
Unidhaniavyo sivyo
Kumbe, kumbe
Fundi Samwenga sivyo alivyo
Mambo ni vice versa
Mambo sivyo vile yalivyo
Usinichukulie poa
Mambo ni tofauti eh
Mambo hayako hivyo wee
Mimi siko hivyo wee
Yule hayuko vile wee
Wote ni ndugu moja maa
[Outro – Peter Msechu]
Hivyo sivyo nilivyo
Unanisema kwa ubaya
Wacha kabisa hiyo
Kumbe, kumbe
Aah aa, aah aa
Kumbe
No comments:
Post a Comment