Thursday, July 21, 2016

WANGU lyrics by Lady Jaydee ft Mr. Blue

[Chorus – Lady Jay Dee]
Nilishakuwaga na wangu, ila akanitenda
Hakuthamini utu wangu, akaniacha akaenda
Nilishakuwaga na wangu, ila akanitenda
Hakuthamini utu wangu, akaniacha akaenda
Nikabaki nalia na roho
Nikabaki nalia na moyo
Nikabaki nalia na roho
Nikabaki nalia na moyo

[Verse 1 – Lady Jay Dee]
Wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweli
Na chuki hudhihirika ukiwemo utapeli
Wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweli
Na chuki hudhihirika ukiwemo utapeli aah
Moyo kiza kinene huwezi kujua
Yupi mkweli, yupi muongo anakuzingua
Na moyo giza nene huwezi kujua
Yupi mkweli, yupi muongo anakuzingua

[Chorus – Lady Jay Dee]
Nilishakuwaga na wangu, ila akanitenda
Hakuthamini utu wangu, akaniacha akaenda
Nilishakuwaga na wangu, ila akanitenda
Hakuthamini utu wangu, akaniacha akaenda
Nikabaki nalia na rohoNikabaki nalia na moyoNikabaki nalia na rohoNikabaki nalia na moyo

[Verse 2 – Lady Jay Dee]
Yule fedha, huyu mvuto
Vishawishi na tamaa, ujana maji ya moto
Huyu mkubwa, yule mdogo
Vishawishi na tamaa, ujana maji ya moto
Kesha usiku mchana ukiomba dua
Walaghai ni wengi wanataka akiugua
Kesha usiku mchana ukiomba dua
Walaghai ni wengi wanataka akiugua aah

[Chorus – Lady Jay Dee]
Nilishakuwaga na wangu, ila akanitenda
Hakuthamini utu wangu, akaniacha akaenda
Nilishakuwaga na wangu, ila akanitenda
Hakuthamini utu wangu, akaniacha akaenda
Nikabaki nalia na roho (nalia na roho, nalia na moyo)
Nikabaki nalia na moyo (nalia na roho, nalia na moyo)
Nikabaki nalia na roho (aah what? nalia na roho)
Nikabaki nalia na moyo, (Jay Dee!)

[Verse 3 – Mr Blue]
Nilivua penzi, kumjali kwa malazi, mavazi, makazi
Aa ah! Kumbe mshenzi, hana hadhi, bure tu napandisha ngazi
Nikamweka wazi kwa paparazi
Nikamleta uswazi kwa wazazi
Kumbe sina demu naishi na jambazi
Mi naziba huku, kule pako wazi
Ah no, sitaki tena kuumia moyo
Sitaki tena unione poyoyo
Sitaki hilo penzi la kichoyo
Mi sitaki mifupa mi kibogoyo
Nataka vile vitu laini, no money, no honey nimebaini
Kwanini naumia kila saa, wakati penzi lako haliendi bila ya chapaa

[Chorus – Lady Jay Dee]
Nilishakuwaga na wangu, ila akanitenda
Hakuthamini utu wangu, akaniacha akaenda
Nilishakuwaga na wangu, ila akanitenda
Hakuthamini utu wangu, akaniacha akaenda
Nikabaki nalia na roho (moyo)
Nikabaki nalia na moyo (nalia na roho, nalia na moyo)
Nikabaki nalia na roho (mh mmh)
Nikabaki nalia na moyo (Jay Dee!)

No comments:

Post a Comment