Tuesday, July 26, 2016

MAJARIBU lyrics by Peter Msechu ft Godzilla

[Verse 1 – Peter Msechu]
Asubuhi ikafika, mchana nao ukaja kwa kasi
Giza likatanda, maisha yakazidi songa
Maanani naye hakuwa mbali pale tulipoanguka
Alitunyanyua akatusihi tusonge mbele
Miaka ikasonga songa songa yakaanza kuja mambo makubwa na mazito
Sikutaraji mamaa, kwani haya ni majaribu maa
(Sikiiza baby, eeh)
Baby, elewa kwamba haya ni majaribu maa
Yapaswa uvumilie, ah, yapaswa uvumilie mamaa ah
My baby…

[Chorus – Peter Msechu]
(Haya ni majaribu)
Uhh my baby
(Usije yakimbia)
Aah haya yapo
(Iko siku yatakwisha)
Uhh my lady
(Jaribu kuvumilia)
Uuh tufike

[Verse 2 – Peter Msechu]
Baby, haya majaribu ni yetu wawili
Hakuna wa pembeni atakayeweza tubebea mzigo oh
Baby, tushirikiane, tuvumiliane
Penzi letu lisije vunjika
Achana nao, tusiwasikiize
Moyoni mwao wamejaa hila
Tushirikiane, tuvumiliane
Penzi letu lisije vunjika
Achana nao usiwasikiize
Moyoni mwao wamejaa hila
Wataongea ongea, watatusema tusema
Achana nao, achana nao
Hao ni wabaya maa, hao ni washari maa
Achana nao, achana nao
Baby, baby, baby, baby, baby…
Vumilia mama
My baby…

[Chorus – Peter Msechu]
(Haya ni majaribu)
Uhh my baby
(Usije yakimbia)
Usije yakimbia haya yapo
(Iko siku yatakwisha)
Yatakwisha tutaishi kwa furaha my baby
(Jaribu kuvumilia)
Vumilia mama

[Verse 3 – Godzilla]
Unavyoni-kiss like you ne go see me again
Usinikimbie kisa shida remember I’m your man
Kuhangaika ni mchana, sometime mpaka nights
Binadamu ni vikwazo mama, ni red lights
Mi ndo mmeo baby, I’m your house leader
Kuwa mvumilivu usinikimbie kisa shida
I’m your mister, shida zinapita
Usiende nazo zipe astalavista
Mi na we tumeungana tumekuwa one body
Njoo kwa Godzilla don’t trust nobody
Tuna shida ila we ni first lady kwa kingdom ya Godzilla

[Chorus – Peter Msechu]
(Haya ni majaribu)
Nakuomba, nakuomba mama usiondoke
(Usije yakimbia)
Usije nikimbia ukaniacha peke yangu nikateseka mama
(Iko siku yatakwisha)
Aliyeyaleta atayaondoa mwenyewe mamaa
(Jaribu kuvumilia)
Nakuomba, nakuomba mama usiondoke

No comments:

Post a Comment