Tuesday, July 26, 2016

MALAVA lyrics by Peter Musechu

[Verse 1]
Kama shamba nililima, we ndo vuno nakuvuna
Sipangiwi, sichuniwi, sinuniwi
Mie sichoi peptu, moyo umekutunuku
Tulishi kwa buku, haya
Mie kwako zumbukuku, kusema nathubutu
Siwezi kukuacha nakupenda
Malava

[Pre-Chorus]
We ni dawa, mi kidonda
Nikiumia wanikonja
Sihofii mimi kukonda, you’re my strawberry
Upendo ninao, shida sina naomba nipepee
Nitalea watoto kila uzazi, wako na mie

[Chorus]
Sikupambi kwa noti, wangu wa dhati
Nikuvae shingoni, kama kidani
I go baby, baby, sweet malava
Nipeti peti, nikikohoa nimefika
I go baby, baby, sweet malava
Nipeti peti, nikikohoa nimefika

[Verse 2]
Shida yako iwe yangu, mwanamama
Chozi lako liwe langu
Shida yako ndio yangu, mwanamama
Cheko lako tabasamu langu, kichuna
Nipende mrembo, mi sikuhongi mjengo
Na stori za magendo, ili waharibu mwenendo
Mie sichoi peptu, moyo umekutunuku
Tulishi kwa buku, haya
Mie kwako zumbukuku, kusema nathubutu
Siwezi kukuacha nakupenda
Malava

[Chorus]
Sikupambi kwa noti, wangu wa dhati
Nikuvae shingoni, kama kidani
I go baby, baby, sweet malava
Nipeti peti, nikikohoa nimefika
I go baby, baby, sweet malava
Nipeti peti, nikikohoa nimefika

[Bridge] x6
Ayaya, sweet malava
Ayaya, sweet malava

[Chorus]
Sikupambi kwa noti, wangu wa dhati
Nikuvae shingoni, kama kidani
I go baby, baby, sweet malava
Nipeti peti, nikikohoa nimefika
I go baby, baby, sweet malava
Nipeti peti, nikikohoa nimefika

[Outro]
I go baby, baby, sweet malava
Nipeti peti, nikikohoa nimefika
I go baby, baby, sweet malava
Nipeti peti, nikikohoa nimefika

Sweet malava, ayaya
Sweet malava, ayaya
Sweet malava, ayaya
Sweet malava, ayaya

No comments:

Post a Comment