Tuesday, July 26, 2016

KISIWA CHA MALAVIDAVI lyrics Z-Anto

[Verse 1]

Ni ukweli nilikuwa napenda sana

Mechi za nje za ujana

Aliyekuwa mke wangu, analia aah

Ni ukweli nilikuwa napenda sana vibinti

Nakuwahonga mpaka magari

Waliyekuwa watoto wangu, wanateseka na njaa

[Bridge]

Mitungi kila saa

Nyumbani sina time ya kukaa

Marafiki nami

Night club na mimi

[Pre-Chorus] x2

Sasa nimebaki lonely

Track redioni hazichezwi

Yaani pesa hakuna, marafiki hakuna

Hata baby hunitaki tena

[Chorus] x2

Nakupenda aiyaa

Nakupenda sana baby

Nakuhitaji mama mama

Njoo kisiwa cha malavidavi

[Verse 2]

Sielewi tena nisikilize ma

Kwani najua pombe ndiyo chanzo ah

Kilichofanya nikutende dharau kibao

Ndani ya nyumba hakuna raha

Na kwangu ulikuwa dhaifu nisikilize ma

Kwani najua kweli ulinipenda ah

Watoto wangu niliwatenga

Nisamehe mpenzi we unasema

[Bridge]

Sitaki rudia tena

Najuta kwa yote niliyofanya

Nisamehe na goti napiga, nalia ahh

[Pre-Chorus] x2

Sasa nimebaki lonely

Track redioni hazichezwi

Yaani pesa hakuna, marafiki hakuna

Hata baby hunitaki tena

[Chorus] x2

Nakupenda aiyaa

Nakupenda sana baby

Nakuhitaji mama mama

Njoo kisiwa cha malavidavi

[Outro]

Uje kwenye kisiwa cha malavidavi

Uje tupeane mapenzi

Usisahau na wanangu

Sahau yaliyopita na tugange yajayo

1 comment: