Tuesday, July 26, 2016

KILA AKITAJA lyrics by Rich Mavoko

[Verse 1]
Sijui ntasema nini, natamani kumwambiaga
Ana mapenzi ya mjini, leo pizza kesho burger
Zawadi zangu ni gauni na hereni za mnada
Asinifanye katuni, anionjeshe aje nimwaga

[Pre-Chorus]
Agah si unajua watoto wa mjini, mapenzi kwao ni utani
Leo ni tamu tekenya, kesho ntamwita kizani
Si unajua watoto wa mjini, mapenzi kwao ni utani
Leo ni tamu tekenya, kesho ntamwita kizani

[Chorus x3]
Kila akitaja na mi nimo
Mapenzi anipe na mimi
Kila akitaja na mi nimo
Mapenzi anipe na mimi

[Verse 2]
Labda unikate ulimi, ndo nishindwe kusemaga
Hata na maskini mimi nahitaji na msaada
Thamani ya vyuma chakavu ndo penzi langu, asini-delete
R sina na ubavu, ndoto zangu zisiwe hadithi

[Pre-Chorus]
Agah si unajua watoto wa mjini, mapenzi kwao ni utani
Leo ni tamu tekenya, kesho ntamwita kizani
Si unajua watoto wa mjini, mapenzi kwao ni utani
Leo ni tamu tekenya, kesho ntamwita kizani

[Chorus x3]
Kila akitaja na mi nimo
Mapenzi anipe na mimi
Kila akitaja na mi nimo
Mapenzi anipe na mimi

No comments:

Post a Comment