[Verse 1 – AY]
Nachana style zaidi ya kumi bado kiwango same
Kwenye speaker unamsikia mastermind wa hii game
Toka BC game,mpaka AC game
Wanajaribu hata kugeza hawana Edu-Tain
Nasmile, wanavyo-scream ‘I’M BACK AGAIN’
Chillax, usipanic kwani where have you been
Bila msoto maisha haya mjomba huwezi gain
Kanyaga moto acha utoto then life maintain
Napata moyo navyosikika toka Joz mpaka Lagos
Bado mnakuna vichwa level hizi chafu mikosi
Nimetoka mbali na hii game bado naidai
Ndio maana sivimbi kichwa na ufame till I die
Usiwe bingwa wa kuhonga na home wanalala njaa
Nyumbani umeacha mboga moja ka komba ulala
baa
Ujanja kuweka heshima nyumbani na is kuweka baa
Unashangaa?, Shtuka huu sio muda wa kuzubaa
[Hook]
[Fid Q] x2
Jipe shavu, kama unajipa, una hizi sifa
Na kama una hizi sifa
Hakikisha watu walikupa
Una cash? (money), we ni hustler? (flane)
Una-support yako familia na uko real
[AY] x2
Jipe shavu, kama unajipa, una hizi sifa
Na kama una hizi sifa
Hakikisha watu walikupa
Una cash? (money), we ni hustler? (flane)
Una-support yako familia na uko real
[Verse 2 – Fid Q]
Jipe shavu kabla haujajipa uwe na hizi sifa
Na kama una hizi sifa, hakikisha watu walikupa
Una cash, money, wewe ni hustler, fulani
Ulikuja na dash kama Damon
Ukazi-Chase kama Damian
Jipe shavu ukiwa na ubavu wa u-billionaire
Haters wata-show love kwa high five everywhere
CEO wa Cheusidawa TV, yeah iliyoanza kwa flip-cam
Ukinikuta club utapagawa, njoo u-sip some
Flow hizi tamu, zinaleta snows ndani ya Dar Es Salaam
Na mie ndo boss bado haujanifahamu?
Troublesome na hizi lyrics sio bubble gum
Multi-syllabic acheni ubishi hii sio double rhyme
[Hook]
[Fid Q] x2
Jipe shavu, kama unajipa, una hizi sifa
Na kama una hizi sifa
Hakikisha watu walikupa
Una cash? (money), we ni hustler? (flane)
Una-support yako familia na uko real
[AY] x2
Jipe shavu, kama unajipa, una hizi sifa
Na kama una hizi sifa
Hakikisha watu walikupa
Una cash? (money), we ni hustler? (flane)
Una-support yako familia na uko real
[Verse 3 – AY]
Beware, usinifuate shika nukuu
Fanya mbwembwe huko uliko ila usije njia kuu
Mdundo mzito wa Q, michano ya level ya juu
Kazi inaisha kabla ya kuanza mbele ya me and Fid Q
Ukitaka kunijua jiandae kujilaumu
Bora uhairishe zoezi kubakie tu kunifahamu
Jipe shavu ulikuja mjini mnyonge mzeiya sasa una mabavu
Una-survive na wengine unawapa shavu
Jina lavuma Afrika nzima nazidi tu kujituma
Nyuma na support nzima, Mtwara to Musoma
Dar to Kigoma, A-Town, Moro to Ruvuma
Tanzania nzima so unatamani hata kugoma
Umenisoma?, mchaka wa soka ka mchizi Chonka
Chini kwa chini ka Inju Bin Unuki mi nasonga
Mkononi Michael Kors na 3 smartphones
Border nazidi cross, huniambii we bitozi
Simu nyingi zinazotoka na kuingia ni za biashara
We bwabwaja, scratch yo balls mzembe zidi lala
Ujanja kupeleka faida bank ya ile uliyo-invest
Bora uhairishe kabla hujani-face
[Hook]
[Fid Q] x2
Jipe shavu, kama unajipa, una hizi sifa
Na kama una hizi sifa
Hakikisha watu walikupa
Una cash? (money), we ni hustler? (flane)
Una-support yako familia na uko real
[AY] x2
Jipe shavu, kama unajipa, una hizi sifa
Na kama una hizi sifa
Hakikisha watu walikupa
Una cash? (money), we ni hustler? (flane)
Una-support yako familia na uko real
No comments:
Post a Comment