Saturday, July 9, 2016

BAADAE lyrics by Ommy Dimpoz

Nampenda kama ringtone 
Hana maringo, huyu binti mtamtam 
Swagga zake zipo simple 
Hapendi dingo, haniishi hamham 
Niko naye sina nyimbo
Nikatoa single, mpaka sasa nna album
Mimi mkali wa mitindo
Hata iki'mingle, kitandani mashamsham

  (PRE-CHORUS)
Kila siku mi niko naye
Ila siku hizi penzi linatia fora eh
Hata mama na papa eh
Wanasema umenizidi TBS kwa ubora eh
Kila siku mi niko naye
Ila siku hizi penzi linatia fora eh
Hata mama na papa eh
Wanasema umenizidi TBS kwa ubora eh

  (CHORUS)
Tukutane tena baadae eh, ai, baadae eh 
Njoo unipe tena baadae eh, si, baadae eh 
Usikose kuja baadae eh, ai, baadae eh 
Nitakungoja baadae eh, si, baadae eh 
Baadae eh, niko naye heey 
Baadae eh, niko naye heey 

Uunang'aa bila lotion 
Mkali wa fashion, baby kama umechorwa eh 
You got a temptation 
Sitaki nikukose, matajiri wakanipora eh 
Penzi langu sio boshen 
Usijipe question, mimi ndiye mume bora eh 
Wananipangia mission 
Ili unitose, nimemuachia mola eh 

  (PRE-CHORUS)
Kila siku mi niko naye 
Ila siku hizi penzi linatia fora eh 
Hata mama na papa eh 
Wanasema umenizidi TBS kwa ubora eh
Kila siku mi niko naye 
Ila siku hizi penzi linatia fora eh 
Hata mama na papa eh
Wanasema umenizidi TBS kwa ubora eh

  (CHORUS)
Tukutane tena baadae eh, ai, baadae eh 
Njoo unipe tena baadae eh, si, baadae eh 
Usikose kuja baadae eh, ai, baadae eh 
Nitakungoja baadae eh, si, baadae eh 
Baadae eh, niko naye heey 
Baadae eh, niko naye heey

Raha zote kwako napata, ai, napata! 
Umenichanganya nadata, si, nadata! 
Raha zote kwako napata, ai, napata! 
Umenichanganya nadata, si, nadata! 

  (PRE-CHORUS)
Kila siku mi niko naye 
Ila siku hizi penzi linatia fora eh 
Hata mama na papa eh 
Wanasema umenizidi TBS kwa ubora eh
Kila siku mi niko naye 
Ila siku hizi penzi linatia fora eh 
Hata mama na papa eh 
Wanasema umenizidi TBS kwa ubora eh

  (CHORUS)
Tukutane tena baadae eh, ai, baadae eh 
Njoo unipe tena baadae eh, si, baadae eh 
Usikose kuja baadae eh, ai, baadae eh 
Nitakungoja baadae eh, si, baadae eh 

No comments:

Post a Comment