Tuesday, July 12, 2016

TUPENDANE lyrics by Pili Pili

Intro
Beat ya clemo
(Hallo hallo hallo wo woo) 
(Hallo hallo hallo wo woo)

Tumetoka mbali
Na mambo bado
Mambo bado wo woo
Tumeona mengi
Kufanya mengi
Bwana sa twakosana
Tunapigana, wo woo
Kwani mola mkuu
Kenye ataamba tukiwa pamoja

Bridge
Vako yangu
Njaro yangu
Adui zangu
Mitaa yangu
Bado nawaasi tupendane

Chorus
Tupendane... Tupendane
Tupendane... Tupendane

Mitaani mbona tuzozane
Sifa nzuri mbona tuichome
Wanasiasa mbona wasibonge
Polisi mbona watugonge
Mdudu upo mbona tuwabake
Makabila mbona chakiane
Tuwe pamoja tusitengane
Tupendane

Bridge
Vako yangu
Njaro yangu
Adui zangu
Mitaa yangu
Bado nawaasi tupendane

Chorus
Tupendane... Tupendane
Tupendane... Tupendane

Tusikizane
Tusemezane
Tuingiane
Tupatiane

Tusikizane
Tusemezane
Tuingiane
Tupatiane

Chorus
Tupendane... Tupendane
Tupendane... Tupendane

Outro
Nashukuru kwa fursa hii
Ulionipa ka msanii
Tumetoka mbali
Kenya imebarikiwa tumekubali
Inshala
Mpachiri mola
Kwa hivyo na si tume pamoja
Pili pili
Itazidi kuwasha, hey !

No comments:

Post a Comment