Tuesday, July 12, 2016

NASONONEKA lyrics by Pili Pili ft French Boy

PiliPili)
bila mabawa
mimi sijali
mpenzi bado wewe ni malaika
ukiwa mbali
na maso kange
mpenzi mimi ndani nasononeka
mapenzi ya dhati
bila masharti
nakupa tu yaani
hamna upinzani
mapenzi ya dhati
bila masharti
nakupa tu yaani
hamna upinzani
usingizi kwangu huwa ghali
usiku kucha mwenzio mi silali
nakuwaza mpenzi
nasononeka

(French Boy)
Penzi letu 
ni imara kwa kweli
inahitaji unyenyekevu
ningetamani kuwa machozi
chozi lako
ili niishi kwa macho zako
ningetamani kuishi kwenye shavu
kwenye shavu lako
na kama ni kufa kwenye midomo
midomo zako
ningetamani kuishi kwenye shavu
kwenye shavu lako
na kama ni kufa kwenye midomo
midomo zako
usingizi kwangu huwa ghali
usiku kucha mwenzio mi silali
nakuwaza mpenzi
nasononeka

No comments:

Post a Comment