Chorus
Kuja nami usiende mbali
sema nami tafadhali
wachana maswali
kuja nami twende ndani
Kuja nami usiende mbali
sema nami tafadhali
wachana maswali
kuja nami twende ndani
(Reina)
kumbuka vile tulijuana
inahisi kama jana
kote tulifuatana
yote tukasikizana
vipi ukajitenga
ili mimi ukanilenga
Chorus
Kuja nami usiende mbali
sema nami tafadhali
wachana maswali
kuja nami twende ndani
Kuja nami usiende mbali
sema nami tafadhali
wachana maswali
kuja nami twende ndani
(Pilipili)
nakumbuka nikija kukutafuta
walahi mi nimekuzimia
enzi mahaga tuliziita madiaba
enzi mahomie walikuwa mafala
enzi mdudu... mdudu
haikuwa imetamba
Chorus
Kuja nami usiende mbali
sema nami tafadhali
wachana maswali
kuja nami twende ndani
Kuja nami usiende mbali
sema nami tafadhali
wachana maswali
kuja nami twende ndani
(Pilipili)
nami nakutafuta, nakutafuta
lakini sikuoni
(Reina)
nami nakutafuta, nakutafuta
lakini sikuoni
(Pilipili)
nami nakutafuta, nakutafuta
lakini sikuoni
(Reina)
nami nakutafuta, nakutafuta
lakini sikuoni
Chorus
Kuja nami usiende mbali
sema nami tafadhali
wachana maswali
kuja nami twende ndani
Kuja nami usiende mbali
sema nami tafadhali
wachana maswali
kuja nami twende ndani
No comments:
Post a Comment