Penzi kweli ni letu, tulipotoka sisi hakuna mtu ambaye atumbua,
Halimuhusu mtu kitu walka sikio, binadamu hapa wameshindwa,
Walijaribu sana kututenganisham lakini hapa kwetu walishindwa,
Walipita pita kututafuta sisi lakini hapa kwetu walipitwa,
(PRE-CHORUS)
Kwani hao huwa sikuzote, hawapendi kuwaona wawili wameshikana,

(CHORUS)
Tumetoka mbali na wewe, tumetoka mbali na wewe,

Usiwalete waja kutuingilia penzi letu jamani,

Nawe usionyeshe chuki, tabasamu yako usiwanyime,
Wamelewa na chuki, roho zao ni mbofu, kamwe usionyeshe madharau,
Watu kama hao ni ujifanye zuzu, jifanye hakuna kitu unaelewe,
Ukijifanya hivyo hao hawatajua, watabaki ni wapi watashika,
(PRE-CHORUS)
Kwani hao huwa sikuzote, hawapendi kuwaona wawili wameshikana,
Kwani hao huwa sikuzote, hawapendi kuwaona wawili wameshikana,
(CHORUS)
Tumetoka mbali na wewe, tumetoka mbali na wewe,
Tumetoka mbali na wewe, tumetoka mbali na wewe,
Tumetoka mbali na wewe, tumetoka mbali na wewe,
Usiwalete waja kutuingilia penzi letu jamani,
Usiwalete waja kutuingilia penzi letu jamani,
Tumetoka mbali na wewe, tumetoka mbali na wewe,
Tumetoka mbali na wewe, tumetoka mbali na wewe,
Tumetoka mbali na wewe, tumetoka mbali na wewe,
Usiwalete waja kutuingilia penzi letu jamani,
Usiwalete waja kutuingilia penzi letu jamani,
Wewe nakupenda, wewe ndiwe wangu na kupenda,
Tumetoka mbali, chini ya mchanga, sisi ni sisi, hao binadamu,
(PRE-CHORUS)
Kwani hao huwa sikuzote, hawapendi kuwaona wawili wameshikana,
Kwani hao huwa sikuzote, hawapendi kuwaona wawili wameshikana,
(CHORUS)
Tumetoka mbali na wewe, tumetoka mbali na wewe,
Tumetoka mbali na wewe, tumetoka mbali na wewe,
Tumetoka mbali na wewe, tumetoka mbali na wewe,
Usiwalete waja kutuingilia penzi letu jamani,
Usiwalete waja kutuingilia penzi letu jamani,
Tumetoka mbali na wewe, tumetoka mbali na wewe,
Tumetoka mbali na wewe, tumetoka mbali na wewe,
Tumetoka mbali na wewe, tumetoka mbali na wewe,
Usiwalete waja kutuingilia penzi letu jamani,
Usiwalete waja kutuingilia penzi letu jamani,
No comments:
Post a Comment