Kuolewa ni sheria
kuzaa ni majaliwa
ndoa kuifurahia
ni mtoto kuzaliwa
yote ni yake jalia
shukuru unalopewa
ukizaa mwana shukuru
ukikosa usikufuru
Kuolewa ni sheria
kuzaa ni majaliwa
ndoa kuifurahia
ni mtoto kuzaliwa
yote ni yake jalia
shukuru unalopewa
ukizaa mwana shukuru
ukikosa usikufuru
(CHORUS)
ndoa kuvumiliana
kuhifadhi haki zake
ndoa zikuje teshena
ndoa ina miiko yake
kuomba sana na pana
alete rehema zake
ukizaa mwana shukuru
ukikosa usikufuru
ukizaa mwana shukuru
ukikosa usikufuru
kumpata mjukuu
ni uwezo wema nani
ni yeye ndiye mkuu
mwenye nazo tekaluni
sio mema makuru
kuyaingiza ndoani
kwa ufanisi wa ndoa
ni kuelekea mola
kumpata mjukuu
ni uwezo wema nani
ni yeye ndiye mkuu
mwenye nazo tekaluni
sio mema makuru
kuyaingiza ndoani
kwa ufanisi wa ndoa
ni kuelekea mola
(CHORUS)
ni kubwa na cha lazima
ni imani kuwa mmoja
si baba wala si mama
kumtetesha mmoja
ni kwa Mola kusimama
mto ataleta taa
ukipata usikufuru
nitaamua nashukuru
ukipata usikufuru
nitaamua nashukuru
ukikosa usikufuru
No comments:
Post a Comment