Tuesday, July 12, 2016

NAMPENDA lyrics by Pili Pili ft Gun B

Chorus
Nampenda penda, nani?
Msichana moja, msichana moja,
Na jina lake, nani?
Ni mrembo sana, Ni mrembo sana!

Nampenda penda, nani?
Msichana moja, msichana moja,
Na jina lake, nani?
Ni mrembo sana,

Nilikua kwa matatu 58, pale Tom Mboya karibu na Luthuli,
Kaingia mwana dada, msichana mrembo, toka Jericho,
Angalia dada, akanmpa talk, akanipa more,
Sikumpa dough, hakutaka dough,
Nikampa flow, akataka show, 
Nikampa show, akanipa love,

Chorus
Nampenda penda, nani?
Msichana moja, msichana moja,
Na jina lake, nani?
Ni mrembo sana, Ni mrembo sana!

Nampenda penda, nani?
Msichana moja, msichana moja,
Na jina lake, nani?
Ni mrembo sana,
  

Coz  she my love maker, my care taker, my heart taker,
No matter who, they talk anout, coz she my filament, my most excitement, 
Hata kama movement,eh, I gonna come again!
Coz  she my love maker, my care taker, my heart taker,
No matter who, they talk anout, coz she my filament, my most excitement, 
Hata kama movement,eh, I gonna come again!

Chorus
Nampenda penda, nani?
Msichana moja, msichana moja,
Na jina lake, nani?
Ni mrembo sana, Ni mrembo sana!

Gona bo ga, ni ogopa studio, studio,
Rymes tukiangusha hii style yo,
Madame tukiwapa, maflow, how,
Wakiimba what, how, gosh!

Bridge
Gona bo ga, ni ogopa studio, studio,
Rymes tukiangusha hii style yo,
Madame tukiwapa, maflow, how,
Wakiimba what, how, gosh!

(repeat)
Nilikua kwa matatu 58, pale Tom Mboya karibu na Luthuli,
Kaingia mwana dada, msichana mrembo, toka Jericho,
Angalia dada, akanmpa talk, akanipa more,
Sikumpa dough, hakutaka dough,
Nikampa flow, akataka show, 
Nikampa show, akanipa love,

Chorus
Nampenda penda, nani?
Msichana moja, msichana moja,
Na jina lake, nani?
Ni mrembo sana, Ni mrembo sana!

Nampenda penda, nani?
Msichana moja, msichana moja,
Na jina lake, nani?
Ni mrembo sana,

Bridge
Gona bo ga, ni ogopa studio, studio,
Rymes tukiangusha hii style yo,
Madame tukiwapa, maflow, how,
Wakiimba what, how, gosh!

Chorus
Nampenda penda, nani?
Msichana moja, msichana moja,
Na jina lake, nani?
Ni mrembo sana, Ni mrembo sana!

Nampenda penda, nani?
Msichana moja, msichana moja,
Na jina lake, nani?
Ni mrembo sana,

No comments:

Post a Comment