[Verse 1]
[Ben Pol]
Oya, oya, oya hey
Mi nataka unisikilize
Oya, oya, oya hey
Nimekuja tuzungumze
[Jux]
Sema, sema, sema Ben Pol
Huwa napenda nyimbo zako
Ila tatizo, mavazi yako
Unasahau kwamba we ni msanii
[Ben Pol]
Ninavyovaa na kuimba, wapi na wapi?
Midosho China, kwani sh ngapi?
We una sifa, mi nnaimba
Nenda uliza shabiki wakwapi
[Jux]
Unachelewa kaka, punguza ushamba sasa
Mziki biashara, natengeneza hela
Hauna mashabiki tena
[Chorus – Ben Pol & Jux]
Nakuchana
Nakucha-nakucha-nakuchana (leo)
Nakuchana
Nakucha-nakucha-nakuchana (nakuchana)
Nakuchana
Nakucha-nakucha-nakuchana
(Nakuchana leo hii, nakuchana leo hii)
Nakuchana
Nakucha-nakucha-nakuchana (nakuchana)
[Verse 2]
[Jux]
By the way natafuta msanii wa kumsaidia
Niambie video ya mwisho nani kakulipia
[Ben Pol]
Nafanya shows kila mwaka
Wapi we unapata pesa
Story zako nshazipata
Unalelewa na Vanessa
[Jux]
Mi mfanyabiashara, toka long time
Wala sio mwenzako
Mashabiki nimekupora, hata last time
Mechukua tuzo yako
[Ben Pol]
Ngoma ya kitoto haikeshi
Subiri next time, naandaa dozi yako
Hata hizo gari na pesa
Mbwembwe za bling bling
Mshukuru sana ex wako, Jacky
[Chorus – Ben Pol & Jux]
Nakuchana
Nakucha-nakucha-nakuchana (leo)
Nakuchana
Nakucha-nakucha-nakuchana (nakuchana)
Nakuchana
Nakucha-nakucha-nakuchana
(Nakuchana leo hii, nakuchana leo hii)
Nakuchana
Nakucha-nakucha-nakuchana (nakuchana)
Nakuchana
Nakucha-nakucha-nakuchana (leo)
Nakuchana
Nakucha-nakucha-nakuchana (nakuchana)
Nakuchana
Nakucha-nakucha-nakuchana
(Nakuchana leo hii, nakuchana leo hii)
Nakuchana
Nakucha-nakucha-nakuchana (nakuchana)
No comments:
Post a Comment