[Intro]
Mswaki!
Nakuzimia vibaya, vibaya
Vibaya, vibaya mi
Nakuzimia vibaya, vibaya
Vibaya, vibaya mi
Nakuzimia vibaya, vibaya
Vibaya, vibaya mi
[Verse 1]
Sophia, Sophia nikupeleke Mpunguzi ah
Sophia, Sophia nikupeleke na Mvumi ah
Sophia, Sophia nikupeleke na Mazengo oh
Sophia, Sophia nikupeleke Mkuungu
[Chorus]
Nakuzimia vibaya, vibaya
Vibaya, vibaya mi
Nakuzimia vibaya, vibaya
Vibaya, vibaya mi
Nakuzimia vibaya, vibaya
Vibaya, vibaya mi
[Verse 2]
Sophia wangu, mi nilizaliwa Tanzania kanda ya kati
Makao makuu, twende pamoja tukauone uzuri wa nchi
Ndugu zangu wamakole, wakarimu wapole
Wanataka wakuone kabla ya kurudi Dar
Wakupatie karanga, zabibu na uhemba
Lazima uwakumbuke ukifika Dar
[Chorus]
Nakuzimia vibaya, vibaya
Vibaya, vibaya mi
Nakuzimia vibaya, vibaya
Vibaya, vibaya mi
Nakuzimia vibaya, vibaya
Vibaya, vibaya mi
[Bridge] x2
Sophia Sophia ah ah ah aa
Sophia Sophia ah ah ah aa
Sophia Sophia ah ah ah aa
Sophia Sophia ah ah ah aa
Sophia Sophia ah ah ah aa
Sophia Sophia ah ah ah aa
[Outro] x2
Twende Dodoma (yele yele yele yele yeeh)
Twende Dodoma
Twende Dodoma (yele yele yele yele yeeh)
Twende mamaaa
No comments:
Post a Comment