Wednesday, July 13, 2016

MOYO WANGU lyrics by Nyota Ndogo

  (CHORUS)
Mpenzi wangu we, ona ninakupenda we
mapenzi yangu we, kwako hayana mwisho we
mpenzi wangu we, ona mi nakupenda we
mapenzi yangu we, kwako hayana mwisho we

Mapenzi kama haya najua ni wengi wanaotafuta
kukupenda najua ni wengi sana wanakimbilia
kunipa roho yako najua na wewe hautajutia
nataka utambue mimi ni wako hakuna mwingine
oooh wewe ujue hili penzi ni lako
oooh mapenzi ya wawili we ukipata
oooh wewe ujue hili penzi ni lako
oooh mapenzi ya wawili we ukipata

  (CHORUS)
Mpenzi wangu we, ona ninakupenda we
mapenzi yangu we, kwako hayana mwisho we
mpenzi wangu we, ona mi nakupenda we
mapenzi yangu we, kwako hayana mwisho we

Nachotaka ni penzi
hapa kwangu umefika
Nachotaka ni penzi
hapa kwangu umefika
sitaki mali zako, nakutaka wewe ulivyo
sitaki hela zako, nakutaka wewe kama ulivyo
oooh wewe ujue hili penzi ni lako
oooh mapenzi ya wawili we ukipata
oooh wewe ujue hili penzi ni lako
oooh mapenzi ya wawili we ukipata

  (CHORUS)
Mpenzi wangu we, ona ninakupenda we
mapenzi yangu we, kwako hayana mwisho we
mpenzi wangu we, ona mi nakupenda we
mapenzi yangu we, kwako hayana mwisho we

Mimi sitakuvunja moyo, nitaujenga moyo wako
nitakutunza vilivyo
Mimi sitakuvunja moyo, nitaujenga moyo wako
nitakutunza vilivyo
mimi niwe wako, na wewe uwe wangu
mimi niwe wako, na wewe uwe wangu

No comments:

Post a Comment