Wednesday, July 13, 2016

MAMBO YANAVYOKWENDA KOMBO lyrics by Nyota Ndogo

  (CHORUS)
mambo yanavyokwenda kombo
mambo yanavyokwenda kombo
tuyaangalie

mambo yanavyokwenda kombo
mambo yanavyokwenda mrama jamani
tutaangamia

makosa ufanye
kisha
usiyapate
ubaya mbele yako
na tena
wee haujali
sidhani wee mwenyewe wajua
umekosa
madharau ya nini mwenzangu
uyaonyesha
kwa nini usitubu
mbona usitake
kutubu
madharau ya nini
mambo yanavyokwenda kombo
mambo yatakuendea kombo
utadhania
mambo yatakavyokubadilikia
utadhania

  (CHORUS)
mambo yanavyokwenda kombo
mambo yanavyokwenda kombo
tuyaangalie

mambo yanavyokwenda kombo
mambo yanavyokwenda mrama jamani
tutaangamia


waona
ni sawa
mwenzako aumia
waona
ni sawa
kufanya makosa
waona 
ni sawa
kutotubu
waona
ni sawa
binadamu si kamili
waeza kuendewa sawa
wakati mmoja
waeza kuendewa kombo
wakati ukifika
waeza kuzishika nyingi
hayo mapeni
muda moja yakaisha
hautaamini
madharau ya nini mwenzangu
ya nini ufanye hivyo
ijapokuwa hatuna
wenzako 
ni wastaarabu
madharau ya nini mwenzangu
ya nini uonyeshe
japokuwa hatuna
wenzako
ni wastaarabu

  (CHORUS)
mambo yanavyokwenda kombo
mambo yanavyokwenda kombo
tuyaangalie

mambo yanavyokwenda kombo
mambo yanavyokwenda mrama jamani
tutaangamia


kawaida
sipendi maneno
hayo yangu
yalikuwa ni mafunzo
tumeona
wengi wameshindwa
ingawapo walikuwa wakiringa
wakituona
wasema
hatuwezi
ya nini haya yote uyaseme

  (CHORUS(
mambo yanavyokwenda kombo
mambo yanavyokwenda kombo
tuyaangalie

mambo yanavyokwenda kombo
mambo yanavyokwenda mrama jamani
tutaangamia

No comments:

Post a Comment