Monday, July 11, 2016

VILE AMEJIBEBA lyrics by Jua Cali

  (CHORUS)
eeh, ona vile manzi amejibeba
eeh, ona vile manzi amejibeba

ona vile huu manzi amejibeba
namwangalia juu sina kitu ya kusema
twende juu, twende chini
usipokatika poa atajuaje unaleta bidii
naamka nafikiria mara mbili ka nikufuate
ntakupata si tuko hapa mpaka che
unaitwa nani, eh hiyo ni jina poa
Kiswahili ndio hiyo imeingia na sio tunajitoa

  (CHORUS)
eeh, ona vile manzi amejibeba
eeh, ona vile manzi amejibeba

eeh, ona vile manzi amejibeba
eeh, ona vile manzi amejibeba

mi najua nimejibeba
swali yangu ni eti kama kweli unaniweza
mbona unakosa kitu ya kusema
nikuzubaa? ama ushaanza already kunipenda
nakuringia juu najua uko nazo
unanifuata ndio uweze kupita nazo
jina langu pekee ishakumaliza
nashindwa itakuwaje ukishanigusa
lugha yako sikatai namba moja
utafanya nini chali yangu akikuona
ni weider six foot mpoa kama wrestler
vile unanijazz una njaro za ki-hustler
nikiteremsha uko sure utaziokota
shida ni kungoja na najua utatokwa
nahitaji mchezo wako kiasi
nimejibeba usinipeleke kasi

  (CHORUS)
eeh, ona vile manzi amejibeba
eeh, ona vile manzi amejibeba

eeh, ona vile manzi amejibeba
eeh, ona vile manzi amejibeba

Leo niko solo kejani
sijui kama unaeza kamu
na usiniweke sana
nisije nikatokwa na hamu
umejibeba sana
ukitembea nangoja uzisahau nyuma
nikiziangukia
leo jioni nitazikuta jo
bila huruma
tukijuana siku zake alikuwa amekonda
siku hizi kuvaa jean si ni lazima
ajipake poda
mikono zangu zingekuwa kubwa
labda zingetosha
siku inaweza kuwa mbaya
lakini inanibamba
nikiona akinitolea
mhali nitaipata
wacha inirarukie
naitaka hapa hapa
sitaki hata unifungie

  (CHORUS)
eeh, ona vile manzi amejibeba
eeh, ona vile manzi amejibeba

eeh, ona vile manzi amejibeba
eeh, ona vile manzi amejibeba

No comments:

Post a Comment