Friday, July 8, 2016

UNANIWASHA lyrics by Janguar

  (CHORUS)
unaniwasha washa wee
unanivuta vuta wee
unanikanda kanda wee
hebu cheza kwa maringo wakuone

nipe hiyo time tuliza nare sista
ninayo furaha man
kama machizi
dada mzuri msupa
amejipa
amebeba mavitu man, sio mchezo
cheki venye ana-walk, venye ana-whizz
venye ana-smile na venye ana-talk
umenishika dada nimekubali
unipe hiyo boldness bila vikwazo

  (CHORUS)

figure yake noma sana Sanaipei
cheki figure na ma-bum...
anayo ma-pose, kama ya Ray C
cheki venye ana-pose...
umbo na sauti kama Beyonce
cheki venye ana-swing...
umbo na sauti kama Beyonce
cheki venye ana-swing...

  (CHORUS)

naku-mind mpenzi
tafadhali usinitese
nakupenda wee usinipe presha
sema tu, kile unachotaka
sema wimbo gani
when do you want it
oooh... oooh
nishike mkono wee usiniache
oooh... oooh... oooh
naku-mind mpenzi wee usinitese

  (CHORUS)

nipe hiyo time tuliza nare sista
ninayo furaha man
kama machizi
dada mzuri msupa
amejipa
amebeba mavitu man, sio mchezo
cheki venye ana-walk, venye ana-whizz
venye ana-smile na venye ana-talk
umenishika dada nimekubali
unipe hiyo boldness bila vikwazo

  (CHORUS)

No comments:

Post a Comment