Thursday, July 14, 2016

TUBONGE lyrics by Jose Chameleon

Tubonge, Chameleone anaomba tubonge

Mungu Baba, we long de

Gospel time now, ooh Lord

Verse 1

Mi na wewe wa kweli, katika wote ninaye ni wewe

Ana nipenda Chamili, bila kipimo unanipenda hakuna kiasi

Ningependa nikuone nikupe, vyote vyangu, nikupe chochote

Unachotaka chochote upate, lakini sina namna ya ku kupata

Bridge

Ungekua na fasi una ishi, hata ingekuwa mbali vipi

Ningekuja nikuone wewe, ungekua na nambari ya simu

Facebook au Twitter, lakini hata sura yako uli ificha!

CHORUS

Njoo nimesubiri sana lini tutaonana

Njoo i don’t know what to do, to do, i’m waiting for you

Njoo nimesubiri sana lini tutaonana

Njoo rafiki wa kweli, rafiki mileli kweli!

Verse 2

Rafiki ninemupa sasa tuuzo, anaa siri zangu nyingi si ogopi mateso

Hao wabishi hawanitishi na mawazo, ninae ninae

Nkiwa kwangu sasa misitaki fujo, nikiwa naye yesio kupiga devil

Paddy man ongeza bass na treble, nimtajje kama ninae ntampata naazo

Bridge

Ungekua na fasi una ishi, hata ingekuwa mbali vipi

Ningekuja nikuone wewe, ungekua na nambari ya simu
Facebook au Twitter, lakini hata sura yako uli ificha!

CHORUS

Njoo nimesubiri sana lini tutaonana

Njoo i don’t know what to do, to do, i’m waiting for you

Njoo nimesubiri sana lini tutaonana

Njoo rafiki wa kweli, rafiki mileli kweli!

Tubonge, Chameleone anaomba tubonge

Mungu Baba, we long de

Gospel time now, ooh Lord

Verse 3

Njo nikupe kyoyote unataka, hatuja kutana mina fufata

Njo… nikukaribishe kwangu, njo… nikupikie chakula taamu

Naomba nikuwoneshe na wato wangu, njo… nikuwoneshe baba, mama wangu

Nikuwoneshe marafiki zangu, name na moyo wangu

Bridge

Ungekua na fasi una ishi, hata ingekuwa mbali vipi

Ningekuja nikuone wewe, ungekua na nambari ya simu

Facebook au Twitter, lakini hata sura yako uli ificha!

CHORUS

Njoo nimesubiri sana lini tutaonana

Njoo i don’t know what to do, to do, i’m waiting for you

Njoo nimesubiri sana lini tutaonana

Njoo rafiki wa kweli, rafiki mileli kweli!

Njoo nimesubiri sana lini tutaonana

Njoo i don’t know what to do, to do, i’m waiting for you

Njoo nimesubiri sana lini tutaonana

Njoo rafiki wa kweli, rafiki mileli kweli!

No comments:

Post a Comment