Friday, July 15, 2016

TAYARI lyrics by Jaguar ft Avril

Ladies and Gentlemen
This is your Captain speaking
Kama uko tayari
Karibu kwenye dancefloor
Jaguar, Avril, Ogopa D.J.'s

  (CHORUS)
Tayari nishapata wangu ambaye ananipenda na mimi nampenda 

Tayari (nimkose nikufe) Tayari (nimkose nikufe) Tayari (nimkose nikufe)
Ta-ta-ta-tayari

Niko tayair yaani niishi na yeye
Kila kitu anachotaka nitafanya
Waseme tu vile wanavyotaka
Kwani kwake yaani mimi kwake nimefika
Namtaka yeye, niishi na yeye
Kila siku tuwe kama chanda na pete
Anishike mkono nami nimfuate
Kote aendako, nimshike mknono 
Anishike mkono nami nimfuate
Kote aendako, nimshike mknono
Anishike mkono nami nimfuate
Kote aendako, nimshike mknono

  (CHORUS)
Tayari nishapata wangu ambaye ananipenda na mimi nampenda 
Tayari nishapata wangu ambaye ananipenda na mimi nampenda
Tayari nishapata wangu ambaye ananipenda na mimi nampenda
Tayari nishapata wangu ambaye ananipenda na mimi nampenda
Tayari (nimkose nikufe) Tayari (nimkose nikufe) Tayari (nimkose nikufe)
Ta-ta-ta-tayari

Niwe ni kila siku ananidai
Nao mi naapa kukwama na yeye
Naota ndoto naona moto
Mwisho Napata (naona ndoto)
Amua ni mimi kila kitu kwangu
Mwisho isiwe nipe nikupe
Wacheke tu pale wanapocheka
Usiku mambo yawe kama kawaida
Wacheke tu pale wanapocheka
Usiku mambo yawe kama kawaida
Wacheke tu pale wanapocheka
Usiku mambo yawe kama kawaida

  (CHORUS)
Tayari nishapata wangu ambaye ananipenda na mimi nampenda 
Tayari nishapata wangu ambaye ananipenda na mimi nampenda
Tayari nishapata wangu ambaye ananipenda na mimi nampenda
Tayari nishapata wangu ambaye ananipenda na mimi nampenda
Tayari (nimkose nikufe) Tayari (nimkose nikufe) Tayari (nimkose nikufe)
Ta-ta-ta-tayari

Nakuahidi ntakwama na wewe, ntakwama na wewe nakuahidi ntakwama na wewe, ntakwama na wewe

No comments:

Post a Comment