Saturday, July 9, 2016

SUBIRA YANGU lyrics by Nyota Ndogo

Usishindane na mtu, fanya yako
Uwezo wako.... siku moja utafurahi
Walisema eti mimi maskinii....
Napoishi hapafai kuishi nyotaaa
Najikuna pale mkono unapofikaaa..... sifikirii kuanza juu lazma nianze chinii...
Walisema sana, wakasema sana
Sishindani na mtu, nala jasho langu
Kwa nini liwe kero, nyie mna kwenu
Mie nina kwangu, niachaneni na kwanguu

  (CHORUS)
Nijenge nyumba, ninunue shamba...
Ninunue garii, baiskeli....
Bidii yanguu... bidii yanguu ×2
Itanifikisha napotaka

Siwezi kushindana na yeyote, napo ishi ndipo mimi nitoshekapo
Haraka haraka na baraka, nitafikaa
Wanao sema wacha waseme, nimezoea
Watanyamaza wenyewe, bila kunyamazishwa
Kama yangu yawakera basi yao ni yepi
Fuate yenu, mie muniache na maskini yangu
Ndio bidii yangu...

  (CHORUS)

2 comments:

  1. Such a nice song nyota...very inspirational.gives us courage to keep the fire burning.

    ReplyDelete
  2. inspirational track, nice song Nyota

    ReplyDelete