Friday, July 15, 2016

NITASUBIRI lyrics by Jux

yey yeah

mmmh...

Nakupenda baby, Nakupenda wewe eh

Ndani ya mtima wangu mamaa, uko we mwenyewe eh

Niko mbali na we, siko radhi nikukose wewe

Niko tayari wanipige mawe, Nitasubiri niwe mimi nawe

Ushanifanya niwe mantle, Hata chakula sikitamani

I wish ungekuwepo, Tucheze cheze wangu wote mwanani

 Ushanifanya niwe mantle, Hata chakula sikitamani

I wish ungewepo baby eh

Nitasubiri, usilie mama nitakuona tena

Mi nitasubiri, usikate tamaa, Najua sio mapema ×2

Mi nitasubirii

Mapenzi ×5

Nakosa amani, Namwoba mora we urudi nyumbani

Ufananishwe na nani, Nimemiss ulivyonipa zamani

Subira Mora amenipa, Siku ikifika ni kwa penzi lako

Ushanifanya niwe mantle, Hata chakula sikitamani

I wish ungekuwepo, Tucheze cheze wangu wote mwanani

 Ushanifanya niwe mantle, Hata chakula sikitamani

I wish ungewepo eeeeh

Nitasubiri, usilie mama nitakuona tena

NItasubiri, usikate tamaa, Najua sio mapema ×2

Nitasubirii

 (Hawa ah ah ah Hawa) Nakupenda wewe

Ma baby ( hawa ah ah aha hawa)

Nitakupenda weweee (hawa ah ah ah hawa)

mamamaa (hawa ah ah ah hawa)

(hawa ah ah ah hawa)

yeeeey

Nitasubiri, usilie mama nitakuona tena

NItasubiri, usikate tamaa, Najua sio mapema ×2

Nitasubirii 

No comments:

Post a Comment