Friday, July 8, 2016

NIKUSKIZE lyrics by Jaguar

siku nyingi zimepita bado
mi na wee twapendana

  (CHORUS)
wee ni kama my sweet mama
ni kama wimbo nayopenda
kila siku nikucheze, kila siku nikuskize
nikuskize
kila siku nikuskize
nikuskize

funga macho nikupe zawadi ya maisha
pete  nikuvalishe
milele uwe wangu
kila siku nikuone
asubuhi uamkapo
ni wee wa kwanza kukuona

  (CHORUS

ona wamekubali
mimi na wewe twafaana
kokote tuendako
wote wanakubali
nami nimekuchorea
watoto unipe
mama mzazi unipe
baba mzazi unipe
unipe

  (CHORUS)

siku nyingi zimepita bado
mi na wee twapendana
siku nyingi zimepita bado si twapendana
siku nyingi zimepita bado si twapendana
siku nyingi zimepita bado si twapendana

  (CHORUS)

1 comment: