Wednesday, July 20, 2016

NI RAHA TU lyrics by AY ft Complex

[Hook – AY]
Alright, njoo huku bado tight
Ipendeze siku ya leo mchana mpaka night
Aah ni raha tu, raha tu
Ndani ya game mi huwa skai macho juu, macho juu
Alright, njoo huku bado tight
Ipendeze siku ya leo mchana mpaka night
Ee bwana eh, muda bado unaruhusu
Aah ni raha tu, raha tu

[Verse 1 – AY]
Watu hao, watu hey
AY na Complex ghetto tume-stay
Kamili ile CBM Crew na Crazy GK
Iteme mineri koh! Tustuke
Watu wameshatinga nyomi si la kitoto
Sir Nature na mi tume-chill ngoma nzito
Niite AY, P call me Commercial
Ndani ya Cannival turuke leo mpaka kesho
Ingawa mambo ya noti bado tage no
Usinyooshe nyonge, we jirushe mi nizidi flow
Whaddup son, mbona umepoza namna gani?
Mfukoni hauna money, au kichwani mambo flani?
Ndani ya nyumba we zama bado shwari
Na hapa tupo ambao tumezama ile kidili
Haina noma kibongo bongo hakuna hatari
Nafanya hivi nipate pombe hata mbili
Ila tukishalewa lugha yetu hatuijui
Hata yule asiyeenda shule humtambui
Tesa na hii saa bado raha tu, raha tu
Ndani ya game mi skai macho juu, macho juu
Kama bitozi cheza mbali na makauzu
Kama una toto chunga sana kupigwa kanzu
Wakoro nao wanalanda nyeo na chupa zao mkononi
Wanawasaka wakuwafaa kwa usiku mmoja hawawaoni
Usifanye mchezo bro zebidi toto mwendo wa pini
Kosa kumuachia dakika moja cross kumi
Lakini si ma-hardcore, mwendo wa chama sado
Tuendelee jirushe mchezo uishe bado

[Hook – AY]
Alright, njoo huku bado tight
Ipendeze siku ya leo mchana mpaka night
Aah ni raha tu, raha tu
Ndani ya game mi huwa skai macho juu, macho juu
Alright, njoo huku bado tight
Ipendeze siku ya leo mchana mpaka night
Ee bwana eh, muda bado unaruhusu
Aah ni raha tu, raha tu

[Verse 2 – Complex]
Fungua vitafa vya fedha, mwaga lager juu ya meza
Kama unaweza kucheza, cheza track inapendeza
Tume-chill na AY mambo tunasebenza
Pumbavu ukijikweza… (tunakumeza!)
Eyo ni raha tu ndani ya nyumba ya wengi wachumba
Vioja watu kuyumba pombe zikiwakumba
Hakuna dosari mambo sasa ni shwari
Mapene yapo mshazari tumia bila kujali
Kijemedali, mambo ya kujivinjari
Utamu unazidi asali, mentali sichezi mbali
Nipo na DVJ, Benny Boy na Simple X
Super mapigo makali, kifo cha matofali
Zarani ametanda, mabinti wanamganda
Dau wanapanda mapochopocho zali kamanda
Fanya mazabe kwa pose kama toto unataka
Pima fikra zao kama havipandi we kula chaka
Watu gado kama Zay B (wa visado)
Mikoko imetanda huku mabenz kule maprado
We ruka mkwanja now, here we go (here we go)
Ee bwana eh muda bado unaruhusu

[Hook – AY]
Alright, njoo huku bado tight
Ipendeze siku ya leo mchana mpaka night
Aah ni raha tu, raha tu
Ndani ya game mi huwa skai macho juu, macho juu
Alright, njoo huku bado tight
Ipendeze siku ya leo mchana mpaka night
Ee bwana eh, muda bado unaruhusu
Aah ni raha tu, raha tu

[Verse 3 – AY]
Tuendelee ku-bang bang bila uwoga
Leo tulambe ninga sio TZ 11
Ndio muda wa kujirusha zip zidude za kushusha
So mikono juu, mikono juu ni remix nakita
DJ sema nazo tracks nyingi Bongo Flavors
Daz Nundaz, Jay, Unique Dadaz
Usiku bado mchanga, no blaga daa
Tikisa anga Bongo Records, no blaga daa
Kamili ile king tone yo, no blaga daa
Straight from the suicide mpaka till I die
Zero brain pande hii ni vibe, no blaga daa
Ujumbe sa ni mwingi leo hapa nakuwakilisha
Kama napenda hii njoo tuzidi kudatisha
Hata kama ngoma simple tusote
Tupate kitu halisi nacho kisipotee
AY naleta new style
Straight from the dump kama vipi we try
Mademu wa viwanja mjomba usijitusu
Usije honga saa, minoti ubaki mtupu
Daka gari jibaba kama uchumi unaruhusu
Usipangue kilometa ukalale panapokuhusu
Hata hivyo umebakiza noti za kesho
Sio unajirusha tu, future yenyewe michosho

[Hook – AY] x2
Alright, njoo huku bado tight
Ipendeze siku ya leo mchana mpaka night
Aah ni raha tu, raha tu
Ndani ya game mi huwa skai macho juu, macho juu
Alright, njoo huku bado tight
Ipendeze siku ya leo mchana mpaka night
Ee bwana eh, muda bado unaruhusu
Aah ni raha tu, raha tu

No comments:

Post a Comment