Friday, July 15, 2016

LOOKING FOR YOU lyrics by Jux ft Joh Makini

Bora nikose pesa mali
Nyumba Gari
niwe nawe..

Nifanye kazi bila Salary
Yote heri
niwe nawe

Ninavyotaka niwe nawe
hawapendi tuwe nieleweee
Ninavyotaka niwe nawe
I wish ujue
iii

Kama vipi sema mamy
nini nikufanyie
Unipende nikupende milele uwe na mie*2

  (CHORUS)
Am Looking for you
Looking for you
Verse 2

Ndoto yangu ipo siku
nitakuwa nawe

Na nina imani nitaweza
nitashinda penzi lako

Ntampenda nani (Kama sio wewe)
Ntamtaka nani (Kama sio wewe) *2

Kama vipi sema mamy
nini nikufanyie
Unipende nikupende milele uwe na mie*2
Chorus

Am Looking for you
Looking for you

Verse 3(Joh Makini)
Ni aina gani ya Juu is this
Macho juu juu
Sina ubishi
Roho Juu
Mikono juujuu
Nimesalimu amri
Nakuhakikishia Tafsiri
Ya maneno kwa vitendo

Hakuna maneno nimekwiva
nipe kitengo..
Niache kushika tama
Nisimame nikushike salama

Nisikupige mtama
nisikuvute ka kuku kwa mtama

Yote sifa kwa maulana
uumbaji huu sioni kasoro bwana

Kupendana ni kulindana
Kwa kila kesi niifanye dhamana.

2 comments: