Wednesday, July 20, 2016

KWANINI lyrics by Diamond Platnumz

[Verse 1]
Usinione nalia, moyoni naumia
Kila siku maugomvi, unanukia mabia
Ina maana unataka useme huu moyo wangu hautambui
Thamani ya mapenzi ndo imegeuka kuwa uadui

[Bridge]
Nikakuimbia nyimbo bado
Nkakupa moyo bado
Nikakupa life, na true love ila baby bado
Nimekuimbia nyimbo bado
Nikakupa moyo bado
Nikakupa life, na true love ila baby bado

[Chorus]
Ukose raha
Kisa, kupendwa nawe
Kwanini ukose raha?
Kisa, kupendwa nawe
Kwanini ukose raha?
Kisa, kupendwa nawe
Kwanini ukose raha?
Kisa, kupendwa nawe

[Verse 2]
Nishachoshwa na haya mapenzi
Visa mara mia kwa mwezi
Mara leo limekwisha hili
Kesho kutwa tena ghafla limezuka tena jingine
Choshwa na haya mapenzi
Visa mara mia kwa mwezi
Leo limekwisha hili, kesho lingine
You just don’t know naumia umia umia umia umia
You don’t know naumia umia umia umia umia

[Chorus] x2
Kwanini ukose raha?
Kisa, kupendwa nawe
Kwanini ukose raha?
Kisa, kupendwa nawe

No comments:

Post a Comment