Thursday, July 14, 2016

KUCHUKUCHU lyrics by Bahati, Wyre ft King Kaka

  [Bahati]
Ni ndoto ngapi za today
Maono mengi on your way
Ni ndoto ngapi msela
Ni ndoto ngapi za today
Maono mengi on your way
 Ni ndoto ngapi nauliza
Leo kama jana  moyoni umejaza lawama eeeh
Leo kama jana wanakucheka eti we fukara eeh (x2)


  (CHORUS) [Bahati]
Ebu sukuma ukikwama, jitahidi kinyama
Ju utakuja shinda wee
Ebu sukuma ukikwama, jitahidi kinyama
Utakuja shinda wee 
Kuchu kuchu kuchu chu mtima 
[Kaza roho mama]
Kuchu kuchu kuchu chu mtima
 [jua utakuja shinda]
Kuchu kuchu kuchu chu mtima
 [Kaza roho baba]
Kuchu kuchu kuchu chu mtima
 [Mungu anawaza mema]

[Wyre]
Who di pan destruction pan di road
Nuff path hole such a bad road
Jah Jah help me focus on mi goal
Father make me grow mi heart, mind and soul 
Ntajitahidi ju inastahili nitimize lengo langu kamili
Let me pray to mi father wit mi hotline
Dem a put mi pan di place, frontline


  (CHORUS) [Bahati]
Ebu sukuma ukikwama, jitahidi kinyama
Ju utakuja shinda wee
Ebu sukuma ukikwama, jitahidi kinyama
Utakuja shinda wee 
Kuchu kuchu kuchu chu mtima 
[Kaza roho mama]
Kuchu kuchu kuchu chu mtima
 [jua utakuja shinda]
Kuchu kuchu kuchu chu mtima
 [Kaza roho baba]
Kuchu kuchu kuchu chu mtima
 [Mungu anawaza mema]

[King Kaka]
Kuchu kuchu , nilikuwa tupu tupu
Ngumu nilikosa hadi njumu
King Kaka sema na Bahati
Nimeangukia deal ngapi
Wanashangaa natoka hii side
Nawashow God alishadecide
Maji ngapi nimetamba, ju nimejikaza kaa kamba
Nikianza nilikuwa mgreen ka ovacado
Na Mungu mambo bado
Wanirushe walafi hao
Ka Julie who is laughing now


  (CHORUS)[Bahati]
Ebu sukuma ukikwama, jitahidi kinyama
Ju utakuja shinda wee
Ebu sukuma ukikwama, jitahidi kinyama
Utakuja shinda wee 
Kuchu kuchu kuchu chu mtima 
[Kaza roho mama]
Kuchu kuchu kuchu chu mtima
 [jua utakuja shinda]
Kuchu kuchu kuchu chu mtima
 [Kaza roho baba]
Kuchu kuchu kuchu chu mtima
 [Mungu anawaza mema]

[King Kaka]
Yani leo eh, nakuambia tu ureal yani
Ni simple eh, we panga Mungu atadecide
Lakini si kupanga tu
Lazima uamke lazima uende
ukafanye abc
Hadi ifike kwa God manze
So this is from sisi to wewe
Its your time, ni time yako manze
Get up Mungu anawaza mema manze

No comments:

Post a Comment