Intro
hii ngoma inafanya nitake kuita nyanyangu na kikamba...
Mwaito!
na niko sure unaweza tell hii track
ina-sound
ki-kwaito...
Kata hio... kata hio... nime kataa hio... nimekataa hiyo
naamini kila mtu ana akili zake
kila mmoja kaumbwa tu kivyake
tutoke nje jamaa tukasake
hii ni mwaka mpya jo tusilale
msupa mi nakuambia jo usidanganywe
huyo boy hakuoi anataka tu akalazwe
kuwa mjanja utapata wako wa kuku-marry
na mathree jo usipande masaree
msanii studio mziki ndio maisha
imekuwa miaka kumi na album haijaisha
producer naye anamkalisha
na yuko na familia mzee ya kulisha
nafsi yako inaweza fanya kile inataka
mi nimeamua kuambia vile mi nataka
leo roho yako ikiku-show haikubali hiyo
wagenge una-make sure unakataa hiyo
(CHORUS)
kuvunja mamanzi (kataa hiyo)
wee kabila gani (kataa hiyo)
mziki mbaya (nimekataa hiyo)
haifai ichezwe sana (nimekataa hiyo)
MP anakudanganya (kataa hiyo)
beste anakusanya (nimekataa hiyo)
ku-rape rape watoi (nimekataa hiyo)
na je ma batty boi(nimekataa hiyo)
ukijuana na boy na hakudungiangi wire
saa ya vita tu anajidai tu anagwaya
ulevini ye ndio wa kwanza bila haya
kuitisha roundi yako na yuko ma-wire
majamaa mtaani walimvotia fiti
waka-make sure ameingia tu kwa hiyo kiti
sa ona vile haga ametupiga miti
barabara mtaa ndio hizo hazipitiki
matha flani juzi amekatwa mambao
eight years na bado yuko kwa hiyo hao
badala akatae arudi kwao
bado anamvumilia tu mshika dao
nafsi yako inaweza fanya kile inataka
mi nimeamua kukuambia vile mi nataka
roho yako ikiku-show jo haikubali
mgenge una-make sure unakataa hiyo
(CHORUS)
kuvunja mamanzi (kataa hiyo)
wee kabila gani (kataa hiyo)
mziki mbaya (nimekataa hiyo)
hata ichezwe sana (nimekataa hiyo)
MP anakudanganya (kataa hiyo)
beste anakusanya (kataa hiyo)
ku-rape rape watoi (nimekataa hiyo)
na je ma batty boi(nimekataa hiyo)
manzi yuko na chali wawili
na ameshika mimba baada ya miezi mbili
na anadai ni yako tu bila siri
kataa hiyo usikubali na ulimi
Pastor ana-roll na ma-Prado na ma-Lancer
amehubiria ma-patients kadhaa wa cancer
ni miujiza naskia wamepona sasa
kataa hiyo ni ma-actor na ma-dancer
conman anakuomba kitu ka hundred thao
mfanye biz ya wash wash tu kwa hao
huku unapiga pasi ukihesabu mazao
kataa hiyo ni ma-paper washaenda zao
nafsi yako ifanye kile inataka
story ya kuogana na ganji pantaka
roho iku-show jo haikubali
Hata ka ni car track una kataa hioo...
(CHORUS)
kuvunja mamanzi (kataa hiyo)
wee kabila gani (kataa hiyo)
mziki mbaya (nimekataa hiyo)
hata ichezwe sana (nimekataa hiyo)
MP anakudanganya (kataa hiyo)
beste anakusanya (kataa hiyo)
ku-rape rape watoi (nimekataa hiyo)
na je ma batty boi(nimekataa hiyo)
Outro
yeah
yani ni Godfather
eeh tuko ndani ya Decimal manze
mtu wetu wa nguvu yani Dr. Musyoka
yani tumekuwa tukifika chini mwaka yote yani
jamaa si hukubalingi vitu mingi sana sabu yani
society inatu-force tukubali
ukiskia nafsi yako mzee imekataa yani
kuna kale ka-voice huwanga ndani ya mwili yako kanaku-show zi
mzee
make sure unakataa hiyo
ukishajanjaruka
buda akikuletea mkwanja ati umvotie
unafanya nini
unakataa hiyo
au sio
No comments:
Post a Comment