Saa zingine anayekupenda humpendi
Unapenda mwingine
Anayependa mwingine hata asiye mpendanga
Na kila mtu anataka type yake
Saa zingine hata wale wenye hadhi na sisi tunawakataanga
(CHORUS)
Alivyonipenda yule, alivyonipendanga
Alivyonipenda yule, sikujali nikamuaga ×2
Yule aliyenipenda bure
Nikamuacha kwa ajili yake yule
Aliyefata pesa na zaidi ya hiyo sikuwa na maana
Kweli macho yalinihadaa
Haki macho yalinihadaa
Alivyonipenda kwa bidii,
Suzeed kanionya mimi sisikii
Urembo pekee hauridhishi
inahitaji zaidi
Type yangu, ni yule anaejua thamani ya penzi langu…
Type yangu, ni yule anaenienzi
Ina maana gani, uwe na msichana mrembo dunia Nzima, na hakupendi?
Ina maana gani uwe na mume
Mwenye hela chungu nzima na hakudhamini?
(CHORUS)
No comments:
Post a Comment