Tuesday, January 5, 2016

YULE lyrics by Ruby

Mapenzi hayana mwenyewe
Unaweza penda kijana au mzee eeh
Niite jina langu baby
Huenda nafsi yangu itapoa aaaah
Shika moyo wangu baby, unavyokwenda mbio wewe utapowa haaa!
Kuna muda namwomba mungu angekuleta mapema
Ila bado sio mbaya wewe ndo unayejua maumivu yangu hhiiii baby
Siipra unitoke machoni, tembea nami ndotoni
Nitakuweka moyoni, bila hofu rohoni

  (CHORUS)
Moyo wangu tembea na yule na yule ndo nampendaga
Macho yangu mtazame yule mtazame yule namwamini sana

Baby staki kutazama nyuma tenaa, maumivu nlishayaona
Wengi walinipotezea muda muda, hakuna nlichokipata aaah haaa
Kuna muda namwomba mungu angekuleta mapema
Ila bado sio mbaya wewe ndo unayejua maumivu yanguuu hii baby
Siipra unitoke machonii tembea nami ndotoni
Nitakuweka moyoni bila hofu rohoni

  (CHORUS)

Oooh siwezi ukabwe macho yangu
Yatonaimi ndotoni hiiiiiii

  (CHORUS)

8 comments: