Monday, January 25, 2016

CHEKECHA lyrics by Alikiba

     VERSE 1
Jamani, nataka saule
Kama mapenzi ghorofa, yamejaa kariakoo
Mi nina mapenzi tele kama kwetu kulea wanao nitaka ni wengi ila mimi kwako nyang'anya nyang'anya

     VERSE 2
Nini unataka mi ninamiujiza nini unataka
Ama ni maji ya blue light sema nini unataka
Nikugeuze princess sema nini unataka
Unavyo buringa bayondo hivyo mi ndo nataka taka sana natakaa
Nini unataka mi nina miujiza nini unataka
Nikugeuze princess sema nini unataka
Siamimi yaani siamini yamenipanda kichwani
Mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini
Siamini yani siamini yamenipanda kichwani mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini

  (CHORUS)
Aya chekecha
Chekecha ×11
Aya chekecha cheketua
Cheke chekecha cheketua
Cheke chekecha cheketua
Cheke chekecha cheketua
Chekecha

Penzi ulinipa mama nami leo nakupatia tena sitaki
Lawama penzi kiapo hakuna
Mi nitakupenda sana mpaka wivu utakimbia nami
Ntalia na wewe mimi kwako nyang'anya nyang'anya

    (Repeat verse 2)

  (CHORUS)

1 comment: