Friday, January 8, 2016

MILELE lyrics by Elani

Malenga wa kubadili zao nia
Kama una masikio sikia, usije basi ukapuliza gunia
Na wenye roho nyepesi watasengenya hawatatuombea
Na mi nishakupenda weewe kwa wazazi nikupelekee
Mi nishakupenda wewe... weeee

  (CHORUS)
La la la la la la la
   La la
La la la la la la
   La la
La la la la la la
   La la
Laaaaaaa
Subira jaribu kuivuta leo, subira jaribu kuivuta eeeeh
Subira jaribu kuivuta leo, subira jaribu kuivuta leeeooooooh

Bagua, bagua utabaguliwa, pokea utakubaliwa
Tabia, tabia imani ndio njia
Nimeamua nikupende watu wasitenganishe
Niwe wako milele, juu mi nishakupenda kwa wazazi nikupeleke, mi nishakupenda weweee eeeeeh

  (CHORUS)

No comments:

Post a Comment