Thursday, January 14, 2016

MALI lyrics by Ali Kiba


Mali ni nyingi nyumbani kipi kimekukimbiza
Ona babiyo mamiyo wote wanakulilia
Mtoto peke yako nyumbani kipi kimekukimbiza
Ona babiyo mamiyo wote wanakulilia
Ndani ya Dar Es Salaama Ulikuja bure

Tena kimwana kimwana hujui Kuchuna
Na zile lawama za wale walokuzoeza
Ulikuja jana na leo tofauti sana...
Tena Bora Yule wa Jana, wa Leo tofauti sana

Dakika mbili mbele nyuma, Kichwa kinauma.
Tena Bora yule wa Jana, wa leo tofuti sana
Dakika mbili mbele nyumba kichwa kinauma.

Mbona unawatesa sana???
Mbona Unajitesa sana?????
Ukaanza kulewa madawa kuvuta kwa sana
ndani ya DSM mambo matamu Haakukuhisha hamu
we bado mtoto kwa mama hujayajua mengi

Mwenda tezi na omo marejeo ngamani.
Amesema sana mama dunia tambara bovu
kuna asali na shubiri,, ujana giza na nuru

We mwana wewe mwana, mwana jeuri sana
Ulichokifuata hukupata, umekosa ulivyoacha

Kwa baba yako mwana, na mama yako mwana
Kwa vicheche ulivyovitaka,
ni vingi ulivyoacha.
Mbona unajitesa sana...??
Mbona unawatesa sana...??


No comments:

Post a Comment