Sunday, January 10, 2016

BARUA ZA DUNIA lyrics by Elani

Hujambo salamu dunia, ni siku nyingi hatujaongea
Hizi enzi, mbona huna penzi
Nimekuandikia barua, ningeweza ningekupigia
Geti kali inalia, machozi ya simba

  (CHORUS)
Usinilenge, juu siku moja nitakulenga pia
Usinicheke,juu siku moja nitakucheka pia
Bobea bobea, bobea bobea ngojea nitabobea pia

Sina mengi ya kusimulia, ila tu ni barua ya dunia aaaah.... baruuuuaa.....
Mashinani wanalialia, umri ndo huo uzee unaingia
Sina fedha hisia wala njia eeh, ya kujitaftia
Nikimalizia barua, geti kali uwe na huruma
Mraia analia, machozi ya simba

  (CHORUS)

Sina mengi ya kusimulia aaah, barua ya dunia aaah
Mbona hukunijalia, dunia.....
Uuuuhh...... 

(CHORUS)

No comments:

Post a Comment