Friday, July 8, 2016

COMING HOME lyrics by Nameless

I'm writing this letter
to my daughter
I wanted to tell her (I'm coming, coming home)

I'm writing this letter
to my daughter
I wanted to tell her (I'm coming, coming home)

but now I'm on a mission
to represent my nation
but now I'm on a mission
to get that victory
so switch on the TV
and hope that you see me
getting that victory
that will make you proud of me
I went out on the station
to represent my nation
I went out on the station
to get that victory
so switch on the TV
and hope that you see me
getting that victory
that will make you proud of me

  (CHORUS)
I'm coming home
home where I belong (whoo o o)
I'm coming home
home where I belong (whoo o o)

Narudi nyumbani, nyumbani
nyumbani, nyumbani
Narudi nyumbani, nyumbani
nyumbani, nyumbani

I have seen many things,
been many places
been round the world I have seen many faces
I've fought many fights
through the days, through the nights
through the journey
I realise
there's nothing better than la familia
there's nothing sweeter or more superior
than to know where you are from
and represent your home
so when you hear this song
I'm coming home

  (CHORUS)
I'm coming home
home where I belong (whoo o o)
I'm coming home
home where I belong (whoo o o)

Narudi nyumbani, nyumbani
nyumbani, nyumbani
Narudi nyumbani, nyumbani
nyumbani, nyumbani

check me out
up in the horizon
coming home, I am coming home
check me out
up in the horizon
coming home, I am coming home

narudi nyumbani, nyumbani
nyumbani, nyumbani
narudi nyumbani, nyumbani
nyumbani, nyumbani...

narudi nyumbani, nyumbani
nyumbani, nyumbani
narudi nyumbani, nyumbani
nyumbani, nyumbani...
(oh o o o ohh, mmh mmh hh)

NAMJUA lyrics by Shetta

Namjua, namjua, namujua, namjua
Namjua, namjua, namjua, namjua
Kuwa nae paradiso mie nae uai adi kifo
Kama babu na kiko niko nae toka nauza siso
Akitembea lawama, namjua
Uko n nyuma danadana, namjua

  (CHORUS)
Iwe kokwa iwe ganda, akinipa na jilamba Ana vyo li cheza ilo vanda shughuli kwenye kitanda
Ayelelee ayelele ayelelelee
Mwenye kishepu kidogo, namjua, namjua Mwendo wake wakidogo, namjua
Sura kama mtoto mdogo, namjua, namjua
Utamu wa embe dodo, namjua, namjua
Na mshusha chombo eeh!
Ajede dedee aje dedee
Ione kwa mbali ajede dedee aje dede
Japo ishikilie ajede dedee aje dedee
Chupa au asali, ajede dedee aje dedee

Leo pochi imenona, inataka kutoka
Vaa top ya kushona, niko na suti
Tena ukiwaona, usije ukashoboka
Wafungie kwa kona, maana marafiki nyoka eeeh

  (CHORUS)

NUSUNUSU lyrics by Joh Makini ft G Nako

Olele, olelee the industry
Olele, olelee

  (CHORUS)
Nusu saa ya mshale, nusu suruale
Nusu kwenye grass, nusu Bob Marley
Niruhusu nisimame, nikuruhusu ulalee
Olele, olelee
Nusu saa ya mshale, olele
Nusu Bob Marley, olele
Niruhusu nisimame, olele
Nikiruhusu ulale, olele

Agizia kina Rita, Magarita
Usijifanye kama hujui kilichotuleta
Mawaidha kwenye party hapana kuleta
Ila kama una maombi leta later
Njaa tulishailimbiza makilometa
Logo ni nyeusi na ina metameta
Wakati wanajiuliza kupata punch line
Me nafululiza kufanya hit song
Huku nikidunduliza so ma money wrong
Na bado sijamaliza so the party is on
Mishongo inawakimbiza, usione wako also
Wamenipitiliza sherehe zikianzia arusha kuelekea ivinza, weeee...
Vunja nazi navunja maviza
Nachana naanga, napasua giza, weee.....
Mi ni nuru so wale ni kiza
Makini na Jesus, so bam ze chiz up

  (CHORUS)

Brand ni kubwa sio kitoto
Na show ni cash sio nikopo
Najenga nchi sitoi boko
Siri kali mbwa koko
Tokea uswazi siachi ukoko, olelee
Tokea uswazi huu ndo mtoko
Matendo sina local local
U know we this for the people
Siwapi kichupa wape kopooo
Ebu sorry mama Rita hamsha popo
Dj, naskia Arusha inakarabati kila sekta
Chalii ya Arusha na Arusha tukila bata
Na mambo ya maana tukumbuke tukila bata
Na ka ni mambo ya kimsingi mi ni lenta
Na ka ni mambo ya kipimbi mnaleta
Mtoto mkali mkibetua nambenta
Na kesho morning ndo mtagundua ilikuwa ni penta
Makolomeo yanaita ni kiu
Na kauli mbiu leo ni kutii olelee
Bendera hewani simamisha mlingoti
Watu mtu Kati, ukutii hunikutii
Sikutii nakutia adabu

  (CHORUS)

SHIKOROBO lyrics by Shetta ft Kcee

A yobanjo
Jobanjo
Yobanjo

Ei, nampenda lakini sina kiitu (Shikorobo)
Natamani mi anipe mavitu (Shikorobo)
Ei, nataka anipe kidoogo  (Shikorobo)
Aya chacha alize mikoogoo (Shikorobo)
Ei nazimika anavyo dance, manjonjo akiringa la Joketi eeeh

Mpaka chini ana rotate
Haki ya mungu akinipa si forget eeeh
Nazimika anavyo dance manjonjo akiringa ka joketo
Mpaka chini anavyo denso
Na haki ya mungu akinipa.... (Shikorobo)

Twerk.. twerk... twerk (Shikorobo) ×2

Sio face, shape wala si colour, nimedata na vyote (Shikorobo)
Akisuka hata akinipa kipara lazima nchoke  (Shikorobo)

Twerk..... twerk.... twerk (Shikorobo) ×2

Ei, kuna watu wana roho za pakashumee (Shikorobo)
Wakipata mabwana lazima wawachunee (Shikorobo)
Ei, wenyewe wanaita vigoogoo (Shikorobo)
Hawajali wakubwa wala wadoogoo (Shikorobo)
Basi, usidanganywe ukapotea (potea)
Wakaenda kukuuza kwa v-cent eeeh

Mpaka chini ana rotate
Haki ya mungu akinipa si forget eeeh
Nazimika anavyo dance manjonjo akiringa ka joketo
Mpaka chini anavyo denso
Na haki ya mungu akinipa.... (Shikorobo)

Twerk.. twerk... twerk (Shikorobo) ×2

Sio face, shape wala si colour, nimedata na vyote (Shikorobo)
Akisuka hata akinipa kipara lazima nchoke  (Shikorobo)

Twerk..... twerk.... twerk (Shikorobo) ×2

Oh bebe, as I dare soo, na your de tink of soo
My head, my shoulder, my kneels oooh..
On the heart yoo because a love you soo
Everyday and night at de pray
O say my God answer my prayer
So I say I love you, make you love me
See yoo mama, papa (kaliyuuboo)
Shikorobo

Twerk.... twerk... twerk  (shikorobo)×2

Sio face, shape wala si colour, nimedata na vyote (Shikorobo)
Akisuka hata akinipa kipara lazima nchoke  (Shikorobo)

Twerk..... twerk.... twerk (Shikorobo) ×2





Thursday, July 7, 2016

FERRARI lyrics by Yemi Alade

Oh oooo ah ah
Uhmm oh baby ah ah
Ferrari, salary ah ah ah

  (CHORUS)
If you love me you go buy me Ferrari
If you like me you go pay me salary
Soup wey sweet na money dey cook am
If you want it you go spend to chop am
Cos I love you no be mouth oh, oh oh
No be for mouth oh eh
Love no be for mouth oh ah ah
No be for mouth ah ah
I love you no be oh, oh oh
No be mouth oh eh
Love no be for mouth oh ah ah
No be mouth oh eh

Oga tia ga na kpa we t'ego
My mate they do holiday for Chicago
Container nola isi na normal excuse o
I don dey wait so tey wait come dey wait me oh

My front eh, my back eh
Dey do you ishin gbaka
If you want to gbadun me well
Mr. Man you must ginger
Guccii oh fendi oh
Otelu me teyin telu mufu
No dey call me sweet pie with nothing oh

  (CHORUS)

Oga I don tired to stay mainland
E no go bad if you buy mansion for banana island
Open supermarket for me for Netherlands Nothing suppose too much for me
As your sweetheart oh eh

My front eh, my back eh
Dey do you ishin gbaka
If you want to gbadun me well
Mr. Man you must ginger
Guccii oh fendi oh
Otelu me teyin telu mufu
No dey call me sweet pie with nothing oh

  (CHORUS)

Wednesday, July 6, 2016

NJOO lyrics by Rabbit King kaka ft Rich Mavoko

Nachukia unaenda, furaha ulikuja
Miaka ngapi wewe, bado hujanichuja Mapenzi ingekuwa mkate ningelia na jam Mapenzi ilianzia tanga Mombasa mwafaham
Utizame mbele utabaki nyuma Gazeti kuongelea mablogger nao chocha
Tumetokotea, nilishakujulisha ocha
Kuja tuchore picha, ata konokono ufika
Unakaa ka miss wa nchi flani
Sitakudiss kuja kwangu kejani Nimechoka kuficha nikuanike hadharani

Nimejaribu mimi kuheshimu ilinitunze langu penzi
Mbona mapenzi yanipa wazimu Oh baby am going crazy
Baby njoo ooh (I miss you baby) 
Njoo ooh, baby njoo ooh

Nikimuona roho huskip beat ka masaai Safi na tattoo ya hearts kwa thigh
Pesa unajua kupata matembezi ya bata Maringo ya tausi eyelashes za paka Shika roho nimeitikia ku gamble
Story gutter press sisi power couple Ukiwa na mimi never scared bone crusher
Mi na we ni unit ka Gabu Frasha
You are my main girl team yangu haina sub
Come tupige selfie Mejja Maddy dabotap Nikutangaze wapi hata gazeti za dar Pulse ya Nairobi peppers K-LA Watuanike kama Naomi na Charles Taylor Tunarhyme kiunguo viatu Chuck Taylor

Nimejaribu mimi kuheshimu ilinitunze langu penzi
Mbona mapenzi yanipa wazimu Oh baby am going crazy
Baby njoo ooh (i miss you baby)
Njoo ooh, baby njoo ooh

Nifunge mlango chapi saa zingine unaniudhi
Nakumbuka unaroho safi kiuno ya nyuki Tule zambarau zimedungwa kwa ice cream
Jirani hujua uko around vile we uscream

Natamani uwe nyimbo nikuimbe kila mara
Kwangu we ulimbo waninata tena raha

Ningekuwa na mihela nilipie billboard Kwa sasa ni na voucher tu
Nipigie radio kuchocha tu Kuja boo

GERARAHIA Lyrics by Rabbit King kaka

So many kings yule king najua ni Kaka
Mr. CEO unajua mahali utanipata
Me na cross borders nyi bado local
Mistari kibao nagawa ka poko

Do me a favor please, gerarahia

After fies nakata ka CS
Baro ni express back left VS
Nachezea maneno Mr. PS

Do me a favor please, gerarahia

(You here what am saying)
Buda ati unatoa video lini
Ati collabo na nani deal gani 
Album imedelay wacha uwongo 
Na una buy views everyday

Do me a favor please, gerarahia
Do me a favor please, gerarahia
Gerarahia man, shit am saying
Gerarahia man, shit am saying
Gerarahia man, shit am saying
Gerarahia man, shit am saying
Gerarahia man, shit am saying

Mr. Politician laptop ndo tunangoja
It’s been three years study hatujaona
Underpayer tunasay wanagongoa
Walimu na polisi next day watagoma

Do me a favor please, gerarahia

Nairobi aibu watu wanachota maji
Haswa ocha worse ni hakuna kazi
Bado wanakuja mtaani kutuahidi 
Vile maisha zetu zitakua poa zaidi 
Gaidi, we ni gaidi

Do me a favor please, gerarahia
Do me a favor please, gerarahia
Gerarahia man, shit am saying
Gerarahia man, shit am saying
Gerarahia man, shit am saying
Gerarahia man, shit am saying
Gerarahia man, shit am saying

Ati maziwa ni 60 bob, gerarahia 
Medication ni expensive, gerarahia 
Shule poor condition, gerarahia 
Barabara shakua shamba, gerarahia 
Promoter ni mgondi, gerarahia 
Hauchezi Kenyan music, gerarahia 
Bado unachukuanga hongo, gerarahia 
Ati Rabbit sio King, gerarahia for real

Do me a favor please, gerarahia
Do me a favor please, gerarahia
Gerarahia man, shit am saying
Gerarahia man, shit am saying
Gerarahia man, shit am saying
Gerarahia man, shit am saying
Gerarahia man, shit am saying