Tuesday, February 16, 2016

MOTO MOTO lyrics by Amos and Josh

Watu wengi nimeona, mfano wako hakuna
Kwa wema umesifika, imani yako hakika mami
Tabibu wa moyo wangu, utanipa dawa gani ju paumapo sipaoni
Juu yako taabani

  (CHORUS)
Jua likiwaka niwe nawe, mchana kutwa
Jioni likitua jua, usiniache
Tuashe moto, moto, moto mimi nawe
Penzi lituchome tusiwe
Moto, moto, moto mimi nawe
Tusiwe, tusiwe
Moto, moto, moto mimi nawe
Penzi lituchome tusiwe
Moto, moto, moto mimi nawe
Tusiwe, tusiwe

Nikisema nisikwambia, nitaumiza moyo wangu
Na nikisema nikwambie, sijui utasema vipi mama
Tabibu wa moyo wangu, nitatunga nyimbo gani
Paumapo sipaoni, juu yako taabani

  (CHORUS)

Moto, moto, hili ni sikio la kufa
Haliwezi sikia dawa, labda busu moja la power
Moto, moto itabidi nimewachuja
Ili nipate yangu fursa ya busu moja la power
Moto, moto hili ni sikio la kufa
Haliwezi sikia dawa, labda busu moja la powe

  (CHORUS)

2 comments: