Thursday, February 4, 2016

ITAKUWA SAWA lyrics by Bahati

Nilipotenganishwa tu na mama, niliingia kwa mtaa kutafuta butter
Eeh masera walinata, hakuna kule tumaini la kupata
Hisia na uchungu, mito mikubwa milima nilivuka
Natumani tu kwa mungu, awape nguvu nyumbani niliowaacha
Nikaamua niende mbali, mbali na nyumbani
Nikaamua niende mbali kusaka ugali
Nikaamua niende mbali, mbali na nyumbani
Nikaamua niende mbali, mbali na......

  (CHORUS)
Itakuwa sawa
Hivi waeleze nyanya na babu (itakuwa sawa)
Shangazi mwambie asife moyo (itakuwa sawa)
Hivi waeleze nyanya na babu (itakuwa sawa)
Waambie ooh itakuwa sawa

Na hivi msichoke kukopa dukani paendapo pagumu...
Hivi muniombee.... maisha mjini bado ni suguu ×2
Naelewa na uchungu uliowabana
Naelewa si rahisi kupambana
Naelewa na machozi yamewakumba ×2
Mama papa
Naelewa na uchungu uliowabana, si rahisi kupambana
Naelewa tukimwamini Rabana, yote itakuwa sawa

  (CHORUS)

Napitia mengi nasio utani, waambie eeh
Sijandaganywa na burudani,waambie eeh

  (CHORUS)

Mweleze na nyanya eeh
Mweleze na mjomba itakuwa sawa
Mweleze masera eeh, Musyoki wa Mbera itakuwa sawa
Mweleze Susana eeh
Mweleze na gukaa, itakuwa sawa

Na hivi msichokee

No comments:

Post a Comment