[Verse 1 – Diamond Platnumz]
Salamu zangu za kwanza, ah ziende kwa Mola na mama
Za pili Chamng’aza, oh mwambie asante sana
Za tatu dada angu, Asma na Halima Kimwana
Oh mie usijali, sijachoka napambana
Hii dunia ina mengi, yenye raha na matatizo
Ogopa mapenzi, oh maana waga shinikizo
Hii dunia ina mengi, yenye raha na matatizo
Ila sio mapenzi, ndo huwaga chanzo cha vita
[Chorus – Chege & (Diamond Platnumz)]
Oh nana nana nana na
(Najua wananpinga)
Oh nana nana nana na
(Ila naamini ntashinda)
Oh nana nana nana na
(Hata wewe unapingwa)
Oh nana nana nana na
(Ila amini utashinda)
[Bridge – Chege & (Diamond Platnumz]
Ayayaya (eh!)
Yaya yaya ya (eh!)
Yaya yaya
(Oh tena raha na matatizo)
Ayayaya (eh!)
Yaya yaya ya (eh!)
Ili mradi wakuharibie
[Verse 2 – Diamond Platnumz]
Mola, oh nilindie rafiki zangu
Na uwape upendo ndugu zangu uh
Mola, oh nilindie na Tale wangu mimi
Na niwapende na maadui zangu
Nnaonekana mjinga ila kwetu ulefunzwa
Ndio maana kila wasemapo huwaga nakuza
Vimaneno maneno, haviwezi niuguza
Sio siwezi, najua ndo chanzo cha vita
[Chorus – Chege & (Diamond Platnumz)]
Oh nana nana nana na
(Najua wananpinga)
Oh nana nana nana na
(Ila naamini ntashinda)
Oh nana nana nana na
(Hata wewe unapingwa)
Oh nana nana nana na
(Ila amini utashinda)
[Bridge – Chege & (Diamond Platnumz]
Ayayaya (eh!)
Yaya yaya ya (eh!)
Yaya yaya
(Oh tena raha na matatizo)
Ayayaya (eh!)
Yaya yaya ya (eh!)
Ili mradi wakuharibie
[Chorus – Chege & (Diamond Platnumz)]
Oh nana nana nana na
(Najua wananpinga)
Oh nana nana nana na
(Ila naamini ntashinda)
Oh nana nana nana na
(Hata wewe unapingwa)
Oh nana nana nana na
(Ila amini utashinda)
[Outro – Diamond Platnumz]
Oh, ah ziende kwa Mola na mama
Ah aah, umwambie asante sana
Ooh Tonsa Mwamba au Karama
Imma, umwambie Tumi asante sana
Eti Tuddy anaringa
Q Boy anaringa
Mara Rommy anavimba
Kuzusha zusha bwana
Chege anaringa
Sota anavimba
Mkubwa Fella anaringa
Ili mradi tu lawama
No comments:
Post a Comment