[Verse 1]
Hellow, hapo vipi sijui unanisikia
Hellow, na maneno natamani kukwambia
Hellow, tafadhali usije nikatia
Hellow, ona mpaka nasahau kusalimia
Habari gani? Leo nimekukumbuka sana
Na mama yaani, twakuwazaga
Vipi nyumbani, hali ya mumeo na wana?
Na aunty Shani, wa Chimwaga
Kile kidonda changu cha roho
Bado kinanitia tabu
Najitahidi kukaza roho
Ila nazidisha adhabu
Oh tena silali oh
Nasubiri maajabu
Maumivu yangu yaje yapate dawa
[Chorus]
Maana I miss you (nakukumbuka iye iye)
I miss you (nakukumbuka iye iye)
Ado I miss you (nakukumbuka iye iye)
I miss you (nakukumbuka iye iye)
[Bridge]
Una roho yangu mama
Ah nikikuwaza, nikisinzia
(Bigili bigili bayoyo)
Oh nikilala (bigili bigili)
Inama inuka woh (bigili bigili)
Nami sina raha
(Bigili bigili bayoyo)
[Verse 2]
Nyungu tunguli, nishapiga sana
Yanga kuwaguwa tia kufuri
Moyo kuhusahau
Vyema kaburi, nusu kula nyama
Nikajisumbua, kumbe sifuri
Hakuna cha angalau
Oh! Sijaweza, mi kuficha nisiseme
Sijaweza aah
Sijaweza
[Chorus]
Maana I miss you (nakukumbuka iye iye)
I miss you (nakukumbuka iye iye)
Ado I miss you (nakukumbuka iye iye)
I miss you (nakukumbuka iye iye)
[Bridge]
Una roho yangu mama
Ah nikikuwaza, nikisinzia
(Bigili bigili bayoyo)
Oh nikilala (bigili bigili)
Inama inuka woh (bigili bigili)
Nami sina raha
(Bigili bigili bayoyo)
Hata nikila (bigili bigili)
Nikikuwaza (bigili bigili)
Nikinalima
(Bigili bigili bayoyo)
Eeh
[Outro]
Una roho yangu mama
Ah nikikuwaza, nikisinzia
(Bigili bigili bayoyo) oh
Good song
ReplyDeleteEnter your comment...Number one song.I LIKE IT.
ReplyDeleteWedding music can make or break the atmosphere of your reception. Plan your wedding reception music with these tips on hiring a DJ or band and selecting the right wedding songs for the different components of the reception. Mtiwadawa
ReplyDelete