Wednesday, July 20, 2016

CHANDA CHEMA lyrics by Diamond Platnumz

[Intro]
Chanda chema huvishwa pete
Basi penda nikupende, mi nikuvishe darling
Hongera ya punda mateke
So nisije nikakupenda ukanitupa mbali

[Chorus x2]
Lala lala lala, ah, hoho, hoho, hoho, mmh
Lala lala lala, ah, hoho, hoho, hoho, mmh

[Verse 1]
Chanda chema huvishwa pete
Basi penda nikupende, mi nikuvishe darling
Hongera ya punda mateke
So nisije nikakupenda ukanitupa mbali
Aa sitosema hadharani ila moyoni nitaumia
Oh zile raha za chumbani nikianza fikiria

[Bridge]
Mmh najua watasema mengi
Tafadhali usikiize
Si unajua hawapendi?
Lengo lao wakuumize
Najua watasema mengi
Ila tafadhali achana nao
Si unajua hawapendi?
Lengo lao ooh

[Chorus x2]
Lala lala lala, ah, hoho, hoho, hoho, mmh
Lala lala lala, ah, hoho, hoho, hoho, mmh

[Verse 2]
Zidisha mahaba niteke
Tena nipe vya akiba ulovitunza ndani
Moyo upate maseke
Nisahau hata shida zote za zamani
Aa tena fanya hadharani ili wazidi chukie
Aa fanya hima natamani, muda wao umewadia

[Bridge]
Mmh najua watasema mengi
Tafadhali usikiize
Si unajua hawapendi?
Lengo lao wakuumize
Najua watasema mengi
Ila tafadhali achana nao
Si unajua hawapendi?
Lengo lao ooh

[Chorus x4]
Lala lala lala, ah, hoho, hoho, hoho, mmh
Lala lala lala, ah, hoho, hoho, hoho, mmh

No comments:

Post a Comment