Oolalala, oolalala, oolalalala
Wakati tuskize ni tena ni Chege na Temba
Putu putututu, kaunyaka
Lililizilawa, nakutaka
Wanasema unaringa, wewe unaringa
Wanasema unaringa, ringa ringa we ringa (x2)
Mi ni mpiganaji katika mapenzi nimesimama mbele kwa ajili yako
Ukinipa sisemi usinipangepangepange kwenye foleni
Ukinipa sisemi usinipa mi kwenye foleni
Ukinipa sisemi usinipangepangepange kwenye foleni
Baby gal would you come closer
I got a feeling zokutanda
I hope you know Delilah
I dont want my high catch fire *
Bora uonekane unajidai, kugawagawa haifai
Bora uonekane unajidai, honey kugawagawa haifai (x2)
Putu putututu, kaunyaka
Lililizilawa, nakutaka
Wanasema unaringa, wewe unaringa
Wanasema unaringa, ringa ringa we ringa (x2)
Le leo kumbe leo, onanana
Kumbe le le oh kumbe leo, onanana
Kumbe leo, sio mkweli huyo
Huyo tapeli huyo
Leo atakupa meli oh
Kumbe leo
Tulipotoka hata jua tunapokwenda baby nakupenda
Maonjesho ya mapenzi nayajua ya moyoni
Mvumilivu hula mbivu ila mi siwezi
Bora unipe leo kesho uninyime
Ngoja ngoja siwezi ilimshinda asilimia mwenzi mio atakachokipata
Papa, ndio ukimpa mwingine ndipo sio
Nikamwambia kipara hayuko mtoto akitanga
Kwake alieka nanga si akanipanga
Baby ntakupa meli [bahari unayo]
Baby ntakupa meli [bahari unayo]
Putu putututu, kaunyaka
Lililizilawa, nakutaka
Wanasema unaringa, wewe unaringa
Wanasema unaringa, ringa ringa we ringa (x2)
Watabwaka watatuacha tunaendelea, olala
Wataondoka watatuacha tunaendelea, olala
Wataondoka watatuacha tunaendelea, olala
Wataondoka watatuacha tunaendelea, olala
Putu putututu, kaunyaka
Lililizilawa, nakutaka
Wanasema unaringa, wewe unaringa
Wanasema unaringa, ringa ringa we ringa (x2)
No comments:
Post a Comment