Saturday, May 21, 2016

AJE lyrics by Alikiba

Uchesi na sauti, amenifanya namisi tu
Mwambie asiogope, Ali ni kipenzi cha watu
Tafanya party nyumbani, hiyo yote kwa ajili yake
Tena asije pekee yake, aje na wenzake
Tafanya party nyumbani, hiyo yote kwa ajili yake
Tena asije pekee yake, asiogope aje na rafiki zake

  (CHORUS)
Basi mwambie ohh aje  (Aje)
Ohh aje (Aje)
Aje na rafiki zake  (Aje)
Asije pekee yake (Aje)
Ohh aje  (Aje)
Aje ohh aje  (Aje)
Aje jamani aje  (Aje)
Aje namisi aje  (Aje)

Uzuri wake timlifu, nishamwona na watu maarufu tu
Kina Wema Sepetu, nikaomba namba bichwa kanishushwa tu
Ilinikosesha raha
Lulu naye kamdanganya, kwamba mimi ni wa kwake
Aniogope tena asinichekelee, ilinikosesha raha
Lulu naye kamdanganya, kwamba mimi ni wa kwake 
Aniogope tena asinichekelee.. 
Basi mwambie aje...

  (CHORUS)

Tu es mon amour je suis quelque d'efficae
Je veux veiller sur toi et toi tu va veiller sur moi ce toi
Ma joix je ne peut pas etre content sans toi......
Je veux veiller sur toi et toi tu va veiller sur moi ce toi ma joix je ne peut pas etre content sans toi

No comments:

Post a Comment