Showing posts with label UTANIPENDA lyrics by Diamond. Show all posts
Showing posts with label UTANIPENDA lyrics by Diamond. Show all posts

Sunday, January 3, 2016

UTANIPENDA Lyrics by Diamond

Tantararaa...... tatarararaaaaa.......
Oh ghafla visenti sina, nimerudi tandalee..
Nimeshindwa kulipa bima, nimeuza madalee
Radio, nyimbo wamezima tv ndio hatari..
Meneja umebakia jina, nitakia tatalee
Ooh walioshabiki zangu, walionisifu kwa maneno matamuu
Leo umati zangu, ni mitusi tu kwa instagramu
Kimwana si dadangu eti naye hanifahamu, ata Harmonize nikimpigia ananifokea kama salamu

Na magazetini nyumbani kwa kukusabai si unajuaga
Utaskia atafarani kwa zari amemwagwa
Na venye nlivyomnyonge tabia ya kuwajibu sinanga
Kama naiona michambo ya madem wa zamani niliopitiaga

Nayosema yanamaanaa sababu hakuna anayejua kesho
Anayepanga ni rabana ila ameificha ni confidential
Ukisali omba sana, mumeo nisije kuwa kichekesho
Maana rafiki wa jana, ndio adui mkubwa keshoo....

   Lalalaaa..... je utanipendaga
   Lalalaaa... au nawe utanimwaga
   Lalalaaa... ati utanipenda

Oooh bado nawaza sana, vile tuzo nshaizoea pote
Itapofika tama nitajirike atachapwa kunihosti
Pindi show zimekwamaa, nikipata sijasi ni mikosi
Ooh jahazi imezama mola ninusuru baba

Kama namwona mwanangu, roho yangu Tiffah Dangote
Anakwenda na mamangu kwa jakaya kikwete
Wanafukuzwa watoke, usilie sandrangu jikaze usichoke
Wenda kesho zamumewangu ntavuma tena mambo yanyooke eeeeeiii
Na magazetini nyumbani kwa kukusabai si unajuaga
Utaskia ata farani kwa zari amemwagwa na venye nlivyomnyonge tabia ya kuwajibu sinanga
Kama naiyona michombo ya madem wa zamani walipitianga

Ninayosema yana maana, sababu hakuna anayejua kesho
Aliyepanga ni rabana ameificha ni confidential
Ukisali omba sana, usije kuwa kichekesho
Maana rafiki wa jana,ndiye adui mkubwa wa kesho