HARMONIZE
SI sura tu bali shavu na tabia
Alivyobarikiwa ah sura na tabia
amemwona ni roho juu
akiniangalia moyo unatulia,ni uzuri wakaona.
DULLY SYKES
I say hi, hi kwanza nafurahi
Katoja kama maabo nipe kikombe cha chai
najidai uku baby haifai, bila shy hi
PRE-CHORUS
We ni baby bila kipimio,macho mpaka kisingino
nikumwagilie wino yangu sio mbilikimo X2
anacheka eh, anacheka, anadensi eh anadensi X2
CHORUS
Inde mama, inde X4
inde mama inde X4
i say lalalala kiuno chako propeller
yako umeivisha better, uzuri mpaka unakera
in the morning unanipa bila shaka
mwingine hapana taka
kiunoni baby wacha mashaka mie hoi
mwenyewe sioni una utamu wa mata
natafuna ninavyotaka nimo jangwani nipatiwe wa arusha.
PRE-CHORUS
We ni baby bila kipimio,macho mpaka kisingino
nikumwagilie wino yangu sio mbilikimo X2
anacheka eh, anacheka, anadensi eh anadensi X2
CHORUS
Inde mama, inde X4
inde mama inde X4
mtoto unavyonipamba ninakwisha kabisa
waka pabaya pabaya X2
waka waka X2
waka pabaya
No comments:
Post a Comment