Chorus
Ulikua wapi bwana (heii heii heii), mbona uonekani bwana (heii heii heii),
Ulikua wapi bwana (heii heii heii),date akapatikana (heii heii heii),
(SudiBoy)
Tumepanga tukutane saa ngapi hapa,ebu cheki time ni saa ngapi sana,
Kumbe ulikua na vijimambo vyako bwana,
Kumbe ulikua na vijimambo vyako bwana,
Pili pili eh e e, Pili pili eh e e
(pilipili)
Sio kupenda kwangu ni makarau bwana,
Nilitoka mapema, njiani wakanibamba,
Wakanizungusha, sa hii ndio wameniacha
Wakanizungusha, sa hii ndio wameniacha
Sudi eh e e, Sudi eh e e,
Chorus
Ulikua wapi bwana (heii heii heii), mbona uonekani bwana (heii heii heii),
Ulikua wapi bwana (heii heii heii),date akapatikana (heii heii heii),
(SudiBoy)
Hakuna shida basil eta huyo mukwanja,
Tumechelewa washikaji wanatungoja,
Fanya haraka haraha, mshikaji kama soldier,
Fanya haraka haraha, mshikaji kama soldier,
Pili pili eh e e, Pili pili eh e e
(pilipili)
Pesa zote na simu niliwapatia,
ndio mara saa hizi waniona pia
, bila hivyo jela nigeingia,
niliyobaki nayo ni shilingio mia,
Sudi eh e e, Sudi eh e e,
Chorus
Ulikua wapi bwana (heii heii heii), mbona uonekani bwana (heii heii heii),
Ulikua wapi bwana (heii heii heii),date akapatikana (heii heii heii),
Sio kupenda kwangu ni makarau bwana,
Sitaki kujua mimi, nina yo hitaji kujua ni,
Ulikua wapi bwana (heii heii heii), mbona uonekani bwana (heii heii heii),
Ulikua wapi bwana (heii heii heii),date akapatikana (heii heii heii),
date akapatikana, mteja akapatikana e e e
No comments:
Post a Comment