Chorus
Iweje mi na wee tukaja tengana
ahadi nyingi ma, nishapeana
nakupenda sana wee
nakupenda sana wewe
Iweje mi na wee tukaja tengana
ahadi nyingi ma, nishapeana
nakupenda sana wee
nakupenda sana wewe
Verse 1
moyo wangu baby unakuita
lakini bado wewe unasita
mbona wasikiza wale
wanishikisha nare
uwongo kwangu baby ulikwisha
taji, pete kakuvisha
mbona uwasikize wale
wanishikisha nare
mapenzi ninakupa
na wewe wanitupa
story wanazokupa
naomba unielewe
Chorus
Iweje mi na wee tukaja tengana
ahadi nyingi ma, nishapeana
nakupenda sana wee
nakupenda sana wewe
Iweje mi na wee tukaja tengana
ahadi nyingi ma, nishapeana
nakupenda sana wee
nakupenda sana wewe
Verse 2
ona kila mara watapiga
wakitaka penzi letu kulipinga
watupilie mbali
na tusonge mbele
kwenye jangwa nakuahidi sitakuwacha
hata kama mambo yangu yatachacha
watupilie mbali
na tuvuke kware
usiwache wasumbue
usiwache wakuambie
naomba ujue
yaani hao ni kundule
Chorus
Iweje mi na wee tukaja tengana
ahadi nyingi ma, nishapeana
nakupenda sana wee
nakupenda sana wewe
Iweje mi na wee tukaja tengana
ahadi nyingi ma, nishapeana
nakupenda sana wee
nakupenda sana wewe
Verse 3
nakuzimia
ninakuambia, nakuambia
kwa mdomo, hebu sikia
ewe my dear
nakuzimia
ninakuambia, nakuambia
kwa mdomo, hebu sikia
ewe my dear
usiwache wasumbue
usiwache wakuambie
naomba ujue
wee ndio wangu wa milele
Chorus
Iweje mi na wee tukaja tengana
ahadi nyingi ma, nishapeana
nakupenda sana wee
nakupenda sana wewe
Iweje mi na wee tukaja tengana
ahadi nyingi ma, nishapeana
nakupenda sana wee
nakupenda sana wewe
No comments:
Post a Comment