Tuesday, July 12, 2016

HUNIPATI lyrics by Nonini ft Daniella

Manze sija pata manzi miaka ka tano, 
Nikona manzi tu hivi naona sura yako,
Yule nilipata alikua ananuka vibaya,
Ikabidi nime muhepa,tu lakini sikwa ubaya,
Nikangukia Fulani hapo, ana bonge la pua,
Vile ameumbwa  chali yangu,huyo manzi anashutua,
Nika kaa chini, na sa jo ile kitu niliamua, 
nitakwama na we jo mpaka ile siku nita kufa,
Na round hii sikupeleki, ma viosk ati kula, ati sijui ati manduma na ma mutura,
Grand regency ndio tutakua tuna kula, na kando tumeshikilia ma glass za amerula,


  (CHORUS)
Nilikupa roho yangu, uka ivunja,
Niliacha maisha yangu, ukanitupa,
Nika wapata kwangu, juu ya kitanda yangu, juu ya bed covers zangu,
Na ule rafiki wangu,
Ebu nicheki, ebu ni cheki cheki,
Mimi unipati, mimi huni pati pati,
Ebu nicheki, ebu ni cheki cheki,
Mimi unipati, mimi uni pati pati,


Mi hiyo siku nilingia tu hivi kwa nyumba, 
nika enda strait kwa kitchen, jo nikaanza kula,
baada ya kula, kwa bed mi huyo nika ruka,
chafua bed sheets, tuna zirusha rusha,
Chafua nah ii pande ingine ana niuma uma,
Sa mi ningejua aje, beshte yako ndiye alikua ndani ya bed, na we ulikua ume enda kukatika Carni,
Si we unajua tu vile naku like tu Daniella, na nikiona huyo beshte yako mi nitamwambia kwenda,
Kwasababu dunia nzima hakuna manzi mi napenda,
Isipokua mtoto wangu tu Daniella!

  Bridge
Ebu nicheki, ebu ni cheki cheki,
Mimi unipati, mimi huni pati pati,

Ebu nicheki, ebu ni cheki cheki,
Mimi unipati, mimi huni pati pati,

Kamu hapa karibu tu na mimi, mimi sitaki!
Kamu jo twende hivi, twende wapi, twende wapi nawe, twende wapi nawe!
(Kwenda zako wewe)

  (CHORUS)
Nilikupa roho yangu, uka ivunja,
Niliacha maisha yangu, ukanitupa,
Nika wapata kwangu, juu ya kitanda yangu, juu ya bed covers zangu,
Na ule rafiki wangu,
Ebu nicheki, ebu ni cheki cheki,
Mimi hunipati, mimi huni pati pati,
Ebu nicheki, ebu ni cheki cheki,
Mimi hunipati, mimi uni pati pati,

1 comment: